Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Wee unamjua vizuri Tundu Lissu? Hafi kwa risasi yule.Labda jeshi la kutafuna ruzuku. Mtapigwa mchakae
Bila uasi hawataelewa kamweWatawapaje hao wabunge wakati wanaibiwa kura zao? Hapo cha msingi ni kuunda jeshi na kuanzisha vita tu!
Haiwezekani:Vyama pinzani wasipoteze muda kusimamisha mgombea wa nafasi ya urais badala yake wapambane juu chini kupata wabunge wengi sana.
Wakiwa na idadi kubwa ya wabunge bila shaka kuna watakao penya mpaka nafasi ya uwaziri.
Baada ya hapo wakiona rais atakayekuwa madarakani hatoshi basi wapige kura ya kutokuwa na imani na rais na wampitishe mwenzao nafasi ya urais.
Vyama pinzani wasipoteze muda kusimamisha mgombea wa nafasi ya urais badala yake wapambane juu chini kupata wabunge wengi sana.
Wakiwa na idadi kubwa ya wabunge bila shaka kuna watakao penya mpaka nafasi ya uwaziri.
Baada ya hapo wakiona rais atakayekuwa madarakani hatoshi basi wapige kura ya kutokuwa na imani na rais na wampitishe mwenzao nafasi ya urais.
What do you meanMtanashati?
π?
Binti anawaza ujinga mda woteWhat do you mean
Akili za hovyo, huyo Lissu auΓ±de jeshi aanzishe vita apigane nani? na JWTZ?Watawapaje hao wabunge wakati wanaibiwa kura zao? Hapo cha msingi ni kuunda jeshi na kuanzisha vita tu!
Rais ana power kulivunja Bunge saa yeyote akiona wanaelekea kupiga kura....no confidence....anavunja Bunge fasterVyama pinzani wasipoteze muda kusimamisha mgombea wa nafasi ya urais badala yake wapambane juu chini kupata wabunge wengi sana.
Wakiwa na idadi kubwa ya wabunge bila shaka kuna watakao penya mpaka nafasi ya uwaziri.
Baada ya hapo wakiona rais atakayekuwa madarakani hatoshi basi wapige kura ya kutokuwa na imani na rais na wampitishe mwenzao nafasi ya urais.
mtanashat hajui kuwa kwa katiba ya tz rais ni mungu mtu, halijui hlo kabisaaaa, ndo maana kaanzisha hii thread.Rais ana power kulivunja Bunge saa yeyote akiona wanaelekea kupiga kura....no confidence....anavunja Bunge faster
Mbinu nzuri kama ile waliyotumia repablikan na DJ.Trumpπ MarekaniVyama pinzani wasipoteze muda kusimamisha mgombea wa nafasi ya urais badala yake wapambane juu chini kupata wabunge wengi sana.
Wakiwa na idadi kubwa ya wabunge bila shaka kuna watakao penya mpaka nafasi ya uwaziri.
Baada ya hapo wakiona rais atakayekuwa madarakani hatoshi basi wapige kura ya kutokuwa na imani na rais na wampitishe mwenzao nafasi ya urais.
Unaeza linganisha madaraka ya Raisi qa marekani na qa Tanzania side by side ili tuone kama una hoja?mtanashat hajui kuwa kwa katiba ya tz rais ni mungu mtu, halijui hlo kabisaaaa, ndo maana kaanzisha hii thread.
Ili ccm itoke lazima kipasuke...na majeshi yawe neutral....yaache kusimamia maagizo ya wanasiasacwa ccm...mtanashat hajui kuwa kwa katiba ya tz rais ni mungu mtu, halijui hlo kabisaaaa, ndo maana kaanzisha hii thread.
Mkuu unaongea na mm au na mtanashat?Unaeza linganisha madaraka ya Raisi qa marekani na qa Tanzania side by side ili tuone kama una hoja?
Unafanya ulinganishi na Katiba ya wapi
ππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ππππππππ€£π€£πππππWatawapaje hao wabunge wakati wanaibiwa kura zao? Hapo cha msingi ni kuunda jeshi na kuanzisha vita tu!
Mkuu nimekuuliza ww.Mkuu unaongea na mm au na mtanashat?