Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Vyama pinzani wasipoteze muda kusimamisha mgombea wa nafasi ya urais badala yake wapambane juu chini kupata wabunge wengi sana.
Wakiwa na idadi kubwa ya wabunge bila shaka kuna watakao penya mpaka nafasi ya uwaziri.
Baada ya hapo wakiona rais atakayekuwa madarakani hatoshi basi wapige kura ya kutokuwa na imani na rais na wampitishe mwenzao nafasi ya urais.