Pre GE2025 Njia pekee ya wapinzani kuingia Ikulu ni kupata idadi kubwa ya wabunge kisha kupiga kura ya kutokuwa na imani na Rais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ebu Kama kuna mtu anaweza kuiuliza DEEPSEEK AU CHATJP. Namna ya kuiondoa Ccm madarakani
 
Mbona hasira unabwekabweka 🤣🤣🤣🤣
 
muulize kiongozi mkuu wa wabwekaji gentleman,

kwamba hua ni kusinzia au kukodoa macho kams sungura ndiko kunawafanya kuibiwa msichokua nacho 🐒
Wewe ndio unabwekabweka inaonekana unahasira mzee huu mchezo hauhitaji hasira 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Co rahisi kihivyo bwashee
 
Jeshi lipi hilo boss
 
Upinzani sio dhaifu kama watu wanavyodai, bali unakabiliwa na mfumo kandamizi usiowapa nafasi sawa. Unaponyimwa uhuru wa mikutano, vyombo vya dola vinapotumiwa dhidi yako, na tume ya uchaguzi ikiwa na upendeleo, hata uwe na kura ngapi huwezi kushinda kwa haki. Huwezi kusema 'hawana kura' wakati mazingira yenyewe hayaruhusu ushindani wa kweli. Tatizo si upinzani, bali mfumo usio huru na haki!
 
Nyinyi wananchi mnaopiga kura
Kwanini hamlindi kura zenu ?
Mnasema wananchi hawalindi kura zao, mnadhani ni rahisi hivyo? Unapojaribu kulinda kura, unakutana na polisi, unazuiliwa kusimamia matokeo, na hata ukihoji, hakuna chombo huru cha kusikiliza malalamiko yako. Sasa unataka wananchi wafanye nini? Wapigane na system yenye kila kitu mkononi? Msiwapotoshe watu, tatizo si wananchi wala upinzani – tatizo ni mfumo usiowapa nafasi ya kulinda walichokipigia kura!
 
Una uhakika Katiba ya Tanzania unaijua kweli?
 
Unaf
Inafikiri haki na usawa utapatikana kwa kutegemea mapenzi mema ya viongozi waliopo madarakani ?
 
Zipigwe kama kwa Samola Machela kidogo hata kamwezi huenda tukaheshimiana,,,,,unajua makada wanatuchukulia poa sana????zipigwe kidogo pachangamke
 
Wewe huijui Katiba!!!
Kabla ya Wabunge kufikia hatua ya kupiga hiyo kura Rais anakuwa tayari keshalivunja Bunge!
CCM tuna akili ndefu sana usidhani CCM Ina watu roporopo kama CHADEMA na vyama vingine vya Upinzani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…