Fanya hivyo mzeeKumbe vijana mnafaidi! Ngoja na Mimi nidownload haka ka-app
Sent from my iPhone using JamiiForums
@ndege JOHN amesha tuonyesha ni wapi tunaweza kupata watoto wakali kiurahisi na bei chee kwa wale wa Dar, ni kwenye minada inayofanyika sehemu mbalimbali jijini Dar es Salaam .Aman iwe juu yenu
Je unataka manzi? Je unataka mchuchu mkali wa geti Kali na mwenye kujielewa? Hujachelewa Mzazi Leo nakuibia siri ambayo naomba uitunze sana
Siri ni moja tu Mzazi nenda kwenye page za instergram za wema sepetu na hamissa mobetto utapata wachuchu had ukimbie mwenyewe
Kuna madem huwa wanacoment kule zama nao DM zao, demu akikoment mfatilie taratibu kwenye page yake kuanzia sura yake na mazingira yake kisha zama DM
Mimi kwa sasa wala sihangaiki kutongoza dem mabarabaran madem wote nawapata huko
Hasa hasa kwa wema sepetu kule ndo kuna mademu bwelele kabisa
Fanya hivyo utanipa majibu hujachelewa mzazi
ASANTE NAWASILISHA
LONDON BOY
Sent using Jamii Forums mobile app
Minada IPI ya nguo au@ndege JOHN amesha tuonyesha ni wapi tunaweza kupata watoto wakali kiurahisi na bei chee kwa wale wa Dar, ni kwenye minada inayofanyika sehemu mbalimbali jijini Dar es Salaam .
kutoka: 22D Arnold st.
Hii hapa ndio Ratiba kamili ya kukamata watoto wakali wa uswazi hapa dar - JamiiForums
Hiyo mbona ina usumbufu sana mkuuYap
Hii hapa ndio Ratiba kamili ya kukamata watoto wakali wa uswazi hapa dar - JamiiForums
kutoka: 22D Arnold st.
Amna noma ngoja nifatilie mkuuYap
Hii hapa ndio Ratiba kamili ya kukamata watoto wakali wa uswazi hapa dar - JamiiForums
kutoka: 22D Arnold st.