Njia rahis ya kupata watoto wakali ni kwenye page ya wema sepetu na hamisa mobetto huko instergram

Njia rahis ya kupata watoto wakali ni kwenye page ya wema sepetu na hamisa mobetto huko instergram

Aman iwe juu yenu

Je unataka manzi? Je unataka mchuchu mkali wa geti Kali na mwenye kujielewa? Hujachelewa Mzazi Leo nakuibia siri ambayo naomba uitunze sana


Siri ni moja tu Mzazi nenda kwenye page za instergram za wema sepetu na hamissa mobetto utapata wachuchu had ukimbie mwenyewe

Kuna madem huwa wanacoment kule zama nao DM zao, demu akikoment mfatilie taratibu kwenye page yake kuanzia sura yake na mazingira yake kisha zama DM

Mimi kwa sasa wala sihangaiki kutongoza dem mabarabaran madem wote nawapata huko

Hasa hasa kwa wema sepetu kule ndo kuna mademu bwelele kabisa

Fanya hivyo utanipa majibu hujachelewa mzazi

ASANTE NAWASILISHA

LONDON BOY

Sent using Jamii Forums mobile app
@ndege JOHN amesha tuonyesha ni wapi tunaweza kupata watoto wakali kiurahisi na bei chee kwa wale wa Dar, ni kwenye minada inayofanyika sehemu mbalimbali jijini Dar es Salaam .

kutoka: 22D Arnold st.
 
Back
Top Bottom