njia rahisi kujua uzito wako sahii

njia rahisi kujua uzito wako sahii

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
kumekuwa na tatizo la obesity kwa vijana wengi wa kitanzania bila wao kujijuia leo nakupa njia rahisi mimi ni mgeni humu uenda imeshapostiwa ila si mbaya kujikumbusha

-pima uzito wako kwa sentimeta let say sentimeta 179,150,180, etc

-chukua hiyo figua minus 100 let say 179-100=79

-itakayobaki ndio uzito wako unaotakiwa kuwa nao

-inshort urefu wako in cm minus 100 equal to your reqiured weight
 
Uzito unaotakiwa kua nao au ndio unao saiv?

Mkuu, ninaomba kuuliza kwanini namba iwe hiyo iwe 100sentimita?..Yaani why that constant?Derived from?

Ninauliza hivyo kwa sababu kwa vigezo vya Body Mass Index (BMI), Huweza kuwa na kilo kadhaa mfano BMI kati ya 18 hadi 25 ikawa inakubalika.

Sasa endapo mtu atakuwa amepata uzito wa juu/Mkubwa kuliko inavyotakiwa kulingana na 'formula' hiyo hapo juu lakini yuko katika viwango sawa vya BMI(Yaani si underweight, overweight su obese) atakuwa sawa? Na je hiyo humaanisha nini?

NB: BMI hupatikana kwa

(Uzito wa mtu katika kg)÷ (Urefu wa mtu katika mita^2)
 
Mkuu hata mm nimetatizika kidogo,hyo idea inapngana na BMI.
Mkuu, ninaomba kuuliza kwanini namba iwe hiyo iwe 100sentimita?..Yaani why that constant?Derived from?

Ninauliza hivyo kwa sababu kwa vigezo vya Body Mass Index (BMI), Huweza kuwa na kilo kadhaa mfano BMI kati ya 18 hadi 25 ikawa inakubalika.

Sasa endapo mtu atakuwa amepata uzito wa juu/Mkubwa kuliko inavyotakiwa kulingana na 'formula' hiyo hapo juu lakini yuko katika viwango sawa vya BMI(Yaani si underweight, overweight su obese) atakuwa sawa? Na je hiyo humaanisha nini?

NB: BMI hupatikana kwa

(Uzito wa mtu katika kg)÷ (Urefu wa mtu katika mita^2)
 
This tiba mbadala,has no scietific proof!
 
nasikia hyo formula wachina wanaiponda sana,wao wana vigezo vyao kwa mujibu wa standards zao za kupata uzito sahihi,ngoja niingie chimbo nije na hoja zao za upingaji wao huo
 
Mkuu kama mwanangu mie ana 67cm hapa nita-minus ngapi kujua average weight?
 
cm 67 atakuwa mtoto tumkia kadi ya clinic hii ni kwa watu wazima tu inafanya kazi kabisa na ni njia rahisi kwa watu wazima
 
Unaweza kutumia chart hii

BMI_chart.GIF
 
This tiba mbadala,has no scietific proof!

We mganga wa kienyeji, baada ya kutumia hiyo formula yako huo uzito unakuwa in lbs au kgs? Sema kuwa uzito uwe in lbs na sio kgs ama sivyo it will not make sense!!
 
Hata mimi ninachojua ni kupma kwa njia ya BMI below 16 ni severe under weight na above 30 ni over weight
 
aisee mimi nagoma kabisa kuhusu hii kitu!!

mimi nina urefu wa cm 192. but kilogram nilizonazo hucheza kuanzia 75 mpaka 80 tu maximum.

kwa hii analysis ya mleta uzi alitaka niwe na uzito wa kg 92, kitu ambacho si sahihi kabisa!!
 
Hii kanuni siiamini kabisa. Imeleta mkanganyiko mkubwa. Ninavyoona, 1. Mleta mada ameshindwa kuifafanua vizuri jinsi ya kunyumbua na vipimo vya uzito (kgs au lbs); au 2. Kanuni hii ni ya 'uchochoroni' (haijathibitishwa kisayansi).
 
kumekuwa na tatizo la obesity kwa vijana wengi wa kitanzania bila wao kujijuia leo nakupa njia rahisi mimi ni mgeni humu uenda imeshapostiwa ila si mbaya kujikumbusha

-pima uzito wako kwa sentimeta let say sentimeta 179,150,180, etc

-chukua hiyo figua minus 100 let say 179-100=79

-itakayobaki ndio uzito wako unaotakiwa kuwa nao

-inshort urefu wako in cm minus 100 equal to your reqiured weight

Uongo wa hali ya juu. Urefu wangu ni 172. If you minus 100 unapata 72 lakini uzito wangu ni 84.
 
Back
Top Bottom