Hii ni kwa ajili ya TV na device zinazotumia Android/GoogleTV tu hii haisupport app ya Azam bila shida nyingi za sideloading. Mfano ni Chromecast, Mi TV stick/box, baadhi ya TV za Sony, Hisense, TCL, Nvidia Shield etc.
Hii haihusu TV za Samsung (Tizen), AppleTV, LG (WebOS), VIDAA OS, na TV Box za kichina zinazotumia Android ya simu.
1. Ingia Play Store kwenye TV tafuta na install app ya TV Bro by Fedir Tsapana
Hii ni web browser.
2. Fungua TV Bro na nenda https://web.azamtvmax.com/ weka bookmark kama unapenda.
3. Login kama kawaida na account yako.
4. Angalia utakacho bila shida, kwa majaribia kwenye Mi stick kila kitu kinaenda vizuri.