Njia rahisi ya kudownload Torrents Wajanja Night bila kizuizi!!!!!!!!!!!!!

Nodus

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2011
Posts
398
Reaction score
1,105
Kwa muda mrefu voda waliondoa Torrent download option kwenye wajanja night hivyo kuondoa mzuka wote wa hiyo bundle kii hapa ni njia rahisi ya kutweak torrent client yako ila kurudisha huo mzuka

1. Ingia kwenye options tab ya torrent client yako kisha ondoa port randomization

2. Change option ya port for incoming connections to 80 au 8080 (Muhimu sanaa!!) hii ndiyo port inayotumika na website
za kawaida kuaccess compyuta yako hivyo torrents zako zitasomeka kwenye server zao kama una access page za
kawaida. Hakuna isp yeyote anayeweza kuzuia hii

3. Turn on Protocol encryption ili isp asione unachokifanyua\

KWISHA KAZI
 
ukimaliza usisahau kurestart torrent client yako na internet connection yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…