Njia rahisi ya kujiajiri

Njia rahisi ya kujiajiri

Mech

Senior Member
Joined
Nov 13, 2017
Posts
131
Reaction score
321
Wakuu habari ya saivi?

Leo nimekaa nikapata hili wazo. Asilimia 89% ya watu wanatafuta ajira humu ndani ni watu ambao wana proffesional zao nzuri. Mfano : Humu kuna Engineers, Technicians na wahasibu

Sasa hivi hawa watu ( Engineer + Technician + accountant) wakiungana si wanaweza wakaunda kampuni na baadae wakifanikiwa wakawa chanzo cha ajira kwa vijana wengine (hata ambao hawana elimu)

Badala ya wao kuhangaika kutafuta ajira, wataanza kupambana kutafuta Mtaji, mtaji ambao wanaweza wakaupata kwa kutafuta kazi ndogo ndogo kulingana na proffesional zao na kwenda kuzifanyia kwenye kampuni nyingine(SUB-CONTRACT).

Naomba kuwasilisha wazo.
 
Siyo jipya hili wazo lako. Wengi walikuw nalo; uliza utaambiwa kaka! Lazima muwe na mwanasheria wa hiyo mikataba na accountant pia mtahitaj mtu wa masoko atafute tenda, sivyo ulivyofikiria
 
Back
Top Bottom