Nifundishe mimi tafadhar ntakupata kwa njia gani?Sema hujui njoo nikufundishe
hatariLala na mwiko chini ya mto unaolalia utamuona live , nae atakuona ila jiadhari na kufatiliwa mana watajipanga ili kujadili umejuaje au umewaonaje
Rejea juu utaonaNifundishe mimi tafadhar ntakupata kwa njia gani?
sasa kwa mimi ninayebeba zege nikilala kama pono wakija nitaamka au..Lala na mwiko chini ya mto unaolalia utamuona live , nae atakuona ila jiadhari na kufatiliwa mana watajipanga ili kujadili umejuaje au umewaonaje
nimerejea lakini sijaelewa vizuri,na mambo kama haya unatakiwa umsaidie mtu kwa upana zaidi ikiwezekana practical.Rejea juu utaona
Nitafute kwa muda wakonimerejea lakini sijaelewa vizuri,na mambo kama haya unatakiwa umsaidie mtu kwa upana zaidi ikiwezekana practical.
jamaniiii "in kingwendus voic"Nitafute kwa muda wako
Lazima utahis kitu tofaut na utaamka tuusasa kwa mimi ninayebeba zege nikilala kama pono wakija nitaamka au..
aisee nitajaribu leo hii vipi hawezi kunifanya kitu mbayaLazima utahis kitu tofaut na utaamka tuu
habari zenu wadau.
najua kila mmoja yupo katika harakati za kusongesha gurudumu la maisha mbele na kuyafikia maendreleo yake na maendeleo ya nchi
tupige kazi kwa bidii,achana na kichwa habari cha mada mwani kumuona mchawi ni jambo gumu kiulimwengu wa kawaida.
najuatakuja wengi baada ya kuona jinsi kichwa cha habari kilivyo.
ila ni njia tu ha kuzielewa jinsi vichwa vya habari za bongo zilivyo.
ujumbe wa leo: TUFANYE KAZI NA SALA ILIU NA MUNGU ATULE BARAKA ZAKEM
Amina ndugu.habari zenu wadau.

Hahahaa umetishaLala na mwiko chini ya mto unaolalia utamuona live , nae atakuona ila jiadhari na kufatiliwa mana watajipanga ili kujadili umejuaje au umewaonaje