Njia rahisi ya kumkamata mchawi au mwanga

Njia rahisi ya kumkamata mchawi au mwanga

habari zenu wadau.
najua kila mmoja yupo katika harakati za kusongesha gurudumu la maisha mbele na kuyafikia maendreleo yake na maendeleo ya nchi
tupige kazi kwa bidii,achana na kichwa habari cha mada mwani kumuona mchawi ni jambo gumu kiulimwengu wa kawaida.
najuatakuja wengi baada ya kuona jinsi kichwa cha habari kilivyo.
ila ni njia tu ha kuzielewa jinsi vichwa vya habari za bongo zilivyo.
ujumbe wa leo: TUFANYE KAZI NA SALA ILIU NA MUNGU ATULE BARAKA ZAKEM
Poa
 
Back
Top Bottom