Njia rahisi ya kunyoa ndevu zako

Njia rahisi ya kunyoa ndevu zako

Pisi kali

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2019
Posts
1,234
Reaction score
2,535
Njia rahisi ya kunyoa ndevu zako.

Mahitaji
1. Sabuni ya anti bacteria (detal original I.e zipo za aina nyingi)
2. Cream shaver (sio lazima maana wengine zinawaletea vipele)
3. Mafuta halisi ya nazi ya maji (mazuri uliyotengeneza mwenyewe ama kununua pia waeza tumia parachute ama AZA)
4. Taulo ama kitambaa safi (yenye Rangi nyeupe itapendeza)
5. Maji ya uvuguvugu

Matumizi (jinsi ya kutumia)

- Chukua cream apply sehem husika kaa kama dakika 5 hakikisha ndevu zako zimekua laini

- Pia waeza paka sabuni (povu) kama mbadala wa cream shaver

- Baada ya dakika 5 hizo chukua shaver machine (usinyoe na wembe huchangia kuleta vipele)

- Anza kunyoa ndevu zako taratibu bila kukwangua wala kunyoa kwa kupandisha juu’ kushoto kulia, nyoa kwa kuelekezea chini

- Baada ya hapo chukua sabuni yako osha uso wako huku ukisugua sehem uliponyoa ili kuondoka bacteria na uchafu
Kwa kutumia maji ya uvuguvugu

- Baada ya hapo kausha uso wako vizuri hakikisha umekua mkavu, paka mafuta yako ya nazi kama unajimassage hivi

Zoezi hili linapendeza usiku ili baada ya hapo ulale ngozi ikiwa relaxed (usiku ngoZi inatulia hamna jua wala mizunguko ya hapa na pale)

Kwa njia hii utasahau kuhusu vipele vinavyotokana na kunyoa ndefu!

NB: Usipake poda ukishave maana inaziba tundu za ngozi mwisho hupelekea vipele na baadae kua vipele vyeusiii

Thank me later
 
Kwa wale wenye vipele vya ndefu, waeza tumia cleanser kusafishia mahala palipo na tatizo
Kuna cleanser za aina mbili wenye uso wa mafuta lemon cleanser itafaa zaidi
 
Je na huku chini south africa kunanyolewaje mpendwa maana zikianza kuota baada ya kunyoa asee kama unaendesha gari unaweza achia steling kwanza ukune

Hahaha

Ndio unaweza ukafanya hivyo, unachukua sabuni unaweka povu zilainishe kisha nyoa ukimaliza osha na sabuni ya anti bacteria kwa maji ya uvuguvugu hakikisha sabuni haingii ndani ya sehem za siri
Ukimaliza paka mafuta ya nazi
Kitu kinakua kilainiii na gaga la sirini wala stiliwaya
Ila tu usinyoe kwa wembe wala kukwangua ma**zi
 
Mimi siku za nyuma nilienda salon moja nikanyolewa ndevu kwa manjonjo kibao, mara hiki mara kile...taulo na maji ya vuguvugu nikasafishwa...ni kweli nilitoka pale kidevu kimeng'aa safiiii.

Siku kama mbili au tatu baadae nilianza kupata majibu...kidevu kiliwasha...nikaota mapele mpaka nikakoma. Na ndio ilikuwa jaribio la kwanza baada ya mara zote kuwa natumia mashine.

Basi tangu siku ile sijawahi kupitisha wembe tena kwenye kidevu changu, ni mashine tu hakuna cha ziada chochote kitafanyika, sio mafuta wala sijui after shave au kitambaa cha maji ya vuguvugu.

Na sijapatwa tena na lile tatizo.
 
Mimi naomba maelekezo namna ya kunyoa kichwa cha chini bila vifundo kutoka kwani sipendi vipele kutoka hivyo huwa zimalizi nywele zote yaani para
Kwa wale wenye vipele vya ndefu, waeza tumia cleanser kusafishia mahala palipo na tatizo
Kuna cleanser za aina mbili wenye uso wa mafuta lemon cleanser itafaa zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je na huku chini south africa kunanyolewaje mpendwa maana zikianza kuota baada ya kunyoa asee kama unaendesha gari unaweza achia steling kwanza ukune
We wa stendi una maneno? Eti kule South Africa!
 
Back
Top Bottom