Pisi kali
JF-Expert Member
- Dec 31, 2019
- 1,234
- 2,535
Njia rahisi ya kunyoa ndevu zako.
Mahitaji
1. Sabuni ya anti bacteria (detal original I.e zipo za aina nyingi)
2. Cream shaver (sio lazima maana wengine zinawaletea vipele)
3. Mafuta halisi ya nazi ya maji (mazuri uliyotengeneza mwenyewe ama kununua pia waeza tumia parachute ama AZA)
4. Taulo ama kitambaa safi (yenye Rangi nyeupe itapendeza)
5. Maji ya uvuguvugu
Matumizi (jinsi ya kutumia)
- Chukua cream apply sehem husika kaa kama dakika 5 hakikisha ndevu zako zimekua laini
- Pia waeza paka sabuni (povu) kama mbadala wa cream shaver
- Baada ya dakika 5 hizo chukua shaver machine (usinyoe na wembe huchangia kuleta vipele)
- Anza kunyoa ndevu zako taratibu bila kukwangua wala kunyoa kwa kupandisha juu’ kushoto kulia, nyoa kwa kuelekezea chini
- Baada ya hapo chukua sabuni yako osha uso wako huku ukisugua sehem uliponyoa ili kuondoka bacteria na uchafu
Kwa kutumia maji ya uvuguvugu
- Baada ya hapo kausha uso wako vizuri hakikisha umekua mkavu, paka mafuta yako ya nazi kama unajimassage hivi
Zoezi hili linapendeza usiku ili baada ya hapo ulale ngozi ikiwa relaxed (usiku ngoZi inatulia hamna jua wala mizunguko ya hapa na pale)
Kwa njia hii utasahau kuhusu vipele vinavyotokana na kunyoa ndefu!
NB: Usipake poda ukishave maana inaziba tundu za ngozi mwisho hupelekea vipele na baadae kua vipele vyeusiii
Thank me later