Njia rahisi ya kupata mtaji wa kuanzisha biashara

poleni na majukumu. mm nina ujuzi ambao unaweza ukanizalishia laki nane kwa wiki mbili kama faida ila sina mtaji lengo nikutaka kujua je inaweza kupata mkopo maana benk wanahitaji dhamana kubwa je wap naweza pata msaada?
Mtaji wangu ni sh 700000 (laki Saba)
KIJANA MBONA HUSOMEKI MTAJI UNAO AU HUNA? naona mara mtaji huna mara unao......
 
Mtaji ni Kuwa na Mahusiano Mazuri na Watu, huondio Mtaji Mkubwa kuliko fedha, ukishakuwa na Mahusiano Mazuri na Watu Fedha inakufuata Yenyewe Ndugu, Walahuta hangaika kutafuta Mtaji Maana watu ndiyo Mtaji wenyewe.
 
Soma vizur mkubwa ipo hapo nimeitaja
Unafkri ukivitengeneza vitauzika? Usije ukafkri kutengeneza ndo vinatoka. Soko lipo na vitatoka kiasi gani. Maana unaweza ukatengeneza vingi mwisho wa siku ukahamia sokoni kutafuta wateja
 
jamii inayokuzunguka ni mtaji tosha, we call it social capital,
tengeneza network jijengee mazingira ya uchapa kazi uaminifu, na maelewano na watu tofauti tofauti.
mtaji utatoka ulipo.
 
I doubt your needs maana hujaeleza mtoaji ela atapata faida gani, pia kama huna collateral una nini cha kuweza kuweka kama dhamana.
 
Unafkri ukivitengeneza vitauzika? Usije ukafkri kutengeneza ndo vinatoka. Soko lipo na vitatoka kiasi gani. Maana unaweza ukatengeneza vingi mwisho wa siku ukahamia sokoni kutafuta wateja
kiongozi tayar nina soko langu
 
nikitengeneza pea 100 napata 800000 faida inakuwa 400000 ndan ya wk mbili nawez kutengeneza pea 200 ambayo napatafaida ya sh 800000 mtaji naohitaji ni sh700000
 
ushatengeneza ngapi na kuuza wapi masoko ya mdomoni ni mengi kuriko uhalisia kamili uliopo..
 
Unajua biashara unapofikiria kabla hujaifanya unaweza kuiona ni profitable
Siku zote sie tunaotafuta mitaji,huwa moja kwa moja tunaangalia matarajio yetu to the maximum.
Sio kwamba naweka kauzibe,ila ni ukweli kwamba uwezo wa kuingiza karibia milioni kwa wiki mbili ni ngum saana.
Yaani uwekeze mtaji wa laki sana halafu ndani ya mwezi uzalishe zaidi ya mara mbili yake?hapo natia shaka

Kuwa muwazi mkuu,usiweke income kubwa ili kuvutia wakopeshaji,ni bora kuwa muwazi hata kama faida ndogo inaweza kumvutia mtu.
 
kiongozi sio kwamba navutia wakopeshaji hapana ila nivizuri kuwa muwazi mfano kama upo dar panda gari linalo enda g mboto shuka banana pale kuna jaamaa yangu mmoja yeye anatengeneza hv viat bei ya ya jumla 12000 na kwa wiki anatoa pea 150 kama huamini unaweza ukanisaidia kufanya utafiti KIONGOZI NACHOKISEMA NAUHAKIKA NACHO NA SIO KUVUTIA WATU
 
Hii ninatarajia kuiaply leo..nimechagua rafik zangu wapendwa 5 na ntaongea nao mmoja mmoja wanichangie 1m kila mmoja nipate mtaji wa kuanza biashara.,mrejesho ntauleta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…