Baraka sheni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2015
- 471
- 197
niko serious mkubwahuo 'ujuuzi' ni goods,capital,or sentence?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
niko serious mkubwahuo 'ujuuzi' ni goods,capital,or sentence?
poleni na majukumu. mm nina ujuzi ambao unaweza ukanizalishia laki nane kwa wiki mbili kama faida ila sina mtaji lengo nikutaka kujua je inaweza kupata mkopo maana benk wanahitaji dhamana kubwa je wap naweza pata msaada?
KIJANA MBONA HUSOMEKI MTAJI UNAO AU HUNA? naona mara mtaji huna mara unao......Mtaji wangu ni sh 700000 (laki Saba)
Soma vizur mkubwa ipo hapo nimeitajaMishe gani hiyo mkuu wiki mbili inaingiza mzigo huo?
Unafkri ukivitengeneza vitauzika? Usije ukafkri kutengeneza ndo vinatoka. Soko lipo na vitatoka kiasi gani. Maana unaweza ukatengeneza vingi mwisho wa siku ukahamia sokoni kutafuta watejaSoma vizur mkubwa ipo hapo nimeitaja
kiongozi tayar nina soko languUnafkri ukivitengeneza vitauzika? Usije ukafkri kutengeneza ndo vinatoka. Soko lipo na vitatoka kiasi gani. Maana unaweza ukatengeneza vingi mwisho wa siku ukahamia sokoni kutafuta wateja
kiongozi tayar nina soko languUnafkri ukivitengeneza vitauzika? Usije ukafkri kutengeneza ndo vinatoka. Soko lipo na vitatoka kiasi gani. Maana unaweza ukatengeneza vingi mwisho wa siku ukahamia sokoni kutafuta wateja
nikitengeneza pea 100 napata 800000 faida inakuwa 400000 ndan ya wk mbili nawez kutengeneza pea 200 ambayo napatafaida ya sh 800000 mtaji naohitaji ni sh700000Unafkri ukivitengeneza vitauzika? Usije ukafkri kutengeneza ndo vinatoka. Soko lipo na vitatoka kiasi gani. Maana unaweza ukatengeneza vingi mwisho wa siku ukahamia sokoni kutafuta wateja
kiongozi sio kwamba navutia wakopeshaji hapana ila nivizuri kuwa muwazi mfano kama upo dar panda gari linalo enda g mboto shuka banana pale kuna jaamaa yangu mmoja yeye anatengeneza hv viat bei ya ya jumla 12000 na kwa wiki anatoa pea 150 kama huamini unaweza ukanisaidia kufanya utafiti KIONGOZI NACHOKISEMA NAUHAKIKA NACHO NA SIO KUVUTIA WATUUnajua biashara unapofikiria kabla hujaifanya unaweza kuiona ni profitable
Siku zote sie tunaotafuta mitaji,huwa moja kwa moja tunaangalia matarajio yetu to the maximum.
Sio kwamba naweka kauzibe,ila ni ukweli kwamba uwezo wa kuingiza karibia milioni kwa wiki mbili ni ngum saana.
Yaani uwekeze mtaji wa laki sana halafu ndani ya mwezi uzalishe zaidi ya mara mbili yake?hapo natia shaka
Kuwa muwazi mkuu,usiweke income kubwa ili kuvutia wakopeshaji,ni bora kuwa muwazi hata kama faida ndogo inaweza kumvutia mtu.