Njia rahisi ya kusafirisha mzigo kwenda Namibia ni ipi?

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
1,527
Reaction score
3,811
Habari wakuu,

Mimi ni mfanyabiasha, hivi sasa nimepata soko la bidhaa zangu za nguo huko Namibia.

Naombeni kufahamu njia rahisi za kusafirisha nguo kupeleka Namibia. DHL/FEDEX nk ni gharama sana kwa wateja wangu.

Hawanunui mzigo mkubwa sana, ni kati ya pisi kumi na pisi 20 kila wanapoagiza.

Naombeni ushauri wenu wakuu
 
Zipo Kampuni za Watanzania ambazo husafirisha mizigo na vifurushi, Dar es salaam to J'burg/South Africa, kwa njia ya Barbara.... watafute wanaweza kukupa mwongozo......
 
Hata Mimi Nina hitaji Sana kupata hasa Botswana na South Africa.
 
Zipo Kampuni za Watanzania ambazo husafirisha mizigo na vifurushi, Dar es salaam to J'burg/South Africa, kwa njia ya Barbara.... watafute wanaweza kukupa mwongozo......
Unaweza kututajia majina mkuu
 
Zipo Kampuni za Watanzania ambazo husafirisha mizigo na vifurushi, Dar es salaam to J'burg/South Africa, kwa njia ya Barbara.... watafute wanaweza kukupa mwongozo......
Mkuu ni zipi? Nami nina uhitaji nazo
 
Back
Top Bottom