Hahahaaa kumbee, vipi ukiloweka nyamayake kwenye gambe, alafu ukaikaanga hainogi sana?Wee jamaa ni mwizi wa nguruwe....!!
Ila ukimla pork /mbuzi/ng'ombe aliyenyeshwa konyagi unanogewa sana!
GongoWanapendelea sana pombe gani?
Watamu kwako si kwa kila mtu mxuuuuu!Nunua mikate mingi
Iloweshe ndani ya pombe
Warushie kwenye banda lao
Wanalewa ndani ya dakika 2
Unawabeba vizuri sana,maana hawa jamaa huwa wana makelele sana kwakuwa wanajijua ni watamu sana hapa duniani.
Mkuu, unataka uloweke then ukaange...hahaa! Hiyo sina uzoefu kwa kweli.Hahahaaa kumbee, vipi ukiloweka nyamayake kwenye gambe, alafu ukaikaanga hainogi sana?
Maana kumpata alielewa naona kama ngumukidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji115] aisee hiimboga hii.Mkuu, unataka uloweke then ukaange...hahaa! Hiyo sina uzoefu kwa kweli.
Labda uchome...