Njia rahisi ya kuwaiba Nguruwe hii hapa

Njia rahisi ya kuwaiba Nguruwe hii hapa

Nunua mikate mingi

Iloweshe ndani ya pombe

Warushie kwenye banda lao

Wanalewa ndani ya dakika 2

Unawabeba vizuri sana,maana hawa jamaa huwa wana makelele sana kwakuwa wanajijua ni watamu sana hapa duniani.
Watamu kwako si kwa kila mtu mxuuuuu!
Pyumbafuuu!

DJ sepetu
 
Dah nimecheka sana hakika mpaka kufika 2020 tutapata maujuzi mengi sana humu na pia nafikiri viwanda vyetu havitahitaji wataalam kutoka nje
 
Back
Top Bottom