Njia rahisi ya kuzuia harufu ya kwapa.

Njia rahisi ya kuzuia harufu ya kwapa.

Kula matunda na veggies kwa wingi.

Kunjwa maji yakutosha.

Acha kula junk food.

Pia punguza vyakula vinavyotokana na wanyama

Kula ital.

Workout regularly

Mwili hautatoa harufu

Ital is vital
kizungu ndo shida hivyo vyakula havina kiswahili chake?
 
Back
Top Bottom