Njia rahisi ya kuzuia mfumko mkubwa wa bei unaokwenda kutokea ni kupunguza zile kodi zilizowekwa kwenye mafuta

Njia rahisi ya kuzuia mfumko mkubwa wa bei unaokwenda kutokea ni kupunguza zile kodi zilizowekwa kwenye mafuta

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Zipo njia kuu mbili za kuzuia bei ya mafuta isipande sana ndani ya nchi.

1. Kuchukua mafuta yaliyonunuliwa kwa bei ndogo na kuhifadhiwa, mafuta hayo unayaingiza sokoni na kuyauza kwa bei za kawaida. Hichi ndicho wamefanya US. Kwa Tanzania hili ni haliwezekani hatuna kawaida ya kuhifadhi mafuta. Wala sehemu ya kuhifadhia mafuta kwaajili ya dhalula hatuna.

2. Kupunguza kodi zilizowekwa kwenye mafuta. Hizi kodi zilizomo kwenye mafuta zikipunguzwa bei itabalance tu.

1625678586027.png


Tukiweza kubalance bei ya mafuta wala bidhaa hazitoweza kupanda bei.

Lakini tujiandae pia yawezekana mafuta yakaanza kukosekana duniani.

Mwisho kabisa Nigeria safari za ndege zimeanza kuahirishwa sababu ya kukosa mafuta.

Screenshot_20220310_114141.jpg
 
Back
Top Bottom