#kwa jina la jamhuri ya muungano wa tanzania.
Kwa ufupi njia rahisi za kuukwa nafasi ya kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya nchini ni
1)uwe ni mwanachama wa chama cha upinzani nchini na hasa chadema,halafu ukiwa kwenye chama hiki uwe mkosoaji mkubwa wa chama tawala ccm.Wewe kwenye mitandao,mikutano ya hadhara n.K kazi yako ni kuikashifu,kuikosoa ccm kuwa hakuna haki za binadamu nchini,watawala wake hawafai n.K,huku ukijijua unakula vizuri,upo kwenye amani,unalewa mpaka unaanguka,watoto wanapata elimu,matibabu n.K bure lakini bado tu unakikosoa vibaya tena hadharani ccm.
Baadae unajitoa chadema unajiunga na chama kilekile ulichokishutumu,kukikosoa n.K. Yaani ccm.Nao kwa mbwembwe wanakupokea,wanakupa kadi ya ccm baada ya mda fulani unaukwaa ukuu wa wilaya.Mfano hai mkuu mpya wa wilaya ya morogoro.
2)uwe mtangazaji mahiri na maarufu katika mojawapo ya vituo vikubwa vya televisheni nchini .Au uwe mwandishi wa habari maarufu kwenye mitandao au magazeti lakini haijalishi ni dhidi(anti) au (pro)mpenzi wa ccm.Ushahidi wakuu wa wilaya walioteuliwa majuzi.
Hapo tayari ukuu wa wilaya unakusubiri.
Ukitaka kuukosa huo ukuu wa wilaya uwe ni mwanachama hai wa ccm unakitetea kila uendapo,unajitoa muhanga kukipigania pindi chaguzi mbalimbali zinapowadia,unawakosoa wanaokipinga chama,uwe mwanachama ambaye hukugusa popote zaidi ya ccm n.K
Haya kiufupi ni maoni yangu binafsi wala hayahusiani na mtu,kikundi chochote.Kwani awamu ya 6 ni sikivu,haichukii,inakupa uhuru wa kuandika maoni yako bila kukubugudhi ndio maana rais wetu mpendwa madam president samia alivifungulia vyombo vya habari
Vilivyofungiwa,kutuachia uhuru wa kuandika,kusema ili mradi usivunje sheria n.K.
Kidumu chama cha mapinduzi.