Dr wa Kaliua
JF-Expert Member
- Sep 20, 2020
- 1,634
- 3,833
Sawa!Ngoja waje
Bei gani? na wapi?Bei anayouza ni rafiki sana Cha ajabu hauzi kabisa
Nitumie maelezo yote dm tufanye kazi ila ikiwa ipo dar tuHabari za wakati huu ndugu zangu!
Naomba kuuliza Kama Kuna mtu yoyote anajua Taasisi, shirikika au hata kamapuni ambayo inajishughulisha na ununuaji wa maeneo au hata nyumba kwa haraka.
Kuna Eneo la Ndugu Analiuza, Sasa Ni muda mrefu Sana, na Bei anayouza ni rafiki sana Cha ajabu hauzi kabisa, licha ya kuwa na madalali wa kutosha lakini wapi.
Nyinyi mlitumia njia gani kuuza maeneo Yanu??
Naomba uelekeo
Msaada.
Nyumba IPO Jiji la ilala, kata ya kitonga Dar es salaam.tsh ngapi
wapi
Kwasasa Nipo kigamboni! Ila Kama utahitaji kuona eneo nipo Tayari kukupelekaMkuu na wewe unaishi huko huko kitonga?
Hii ipo maeneo ya Mvuti huko au msongola ya kivuleAisee.
Mbona mali sana hiyo.
Ila Kitonga (manispaa ya ilala) iko maeneo gani kwa hapa Dar?.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Ipo katikati ya mbagala na chanika.Aisee.
Mbona mali sana hiyo.
Ila Kitonga (manispaa ya ilala) iko maeneo gani kwa hapa Dar?.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Absolutely TrueHii ipo maeneo ya Mvuti huko au msongola ya kivule
Ongeza pichaPicha zake hiziView attachment 2113468View attachment 2113467
naipenda sana hii ruti, wakikata umeme tu ni, mbagala chanika, chanika mbagala, mpaka jioniIpo katikati ya mbagala na chanika.
Kutoka mbagala mpaka Kitonga nauli Ni Mia 600
Sasa wacha nikwambie ukweli mimi nina mji huko na hayo maeneo ninayajua nadhan kama sijakosea panaitwa kibungošnitakupigia ili tuone tunafanyajeAbsolutely True