Njia rahisi za kuuza nyumba

Njia rahisi za kuuza nyumba

Sasa wacha nikwambie ukweli mimi nina mji huko na hayo maeneo ninayajua nadhan kama sijakosea panaitwa kibungo[emoji16]nitakupigia ili tuone tunafanyaje
Sawa Boss
Nasubiri simu yako
 
Habari za wakati huu ndugu zangu!

Naomba kuuliza kama kuna mtu yoyote anajua taasisi, shirikika au hata kamapuni ambayo inajishughulisha na ununuaji wa maeneo au hata nyumba kwa haraka.

Kuna eneo la ndugu analiuza, sasa ni muda mrefu sana, na bei anayouza ni rafiki sana cha ajabu hauzi kabisa, licha ya kuwa na madalali wa kutosha lakini wapi.

Nyinyi mlitumia njia gani kuuza maeneo yanu?

Naomba uelekeo

Msaada.
Nina milioni 4 mkuu tufanye biashara

Sent from my SM-C5000 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom