Aineksha Lugangira
Member
- Aug 12, 2017
- 16
- 4
Kwa ufahamu wangu mdogo, njia ya posta ndio nafuu zaidiCoz sielewi Tanzania posta wanatumia vigezo gani wanapo charge mzigo tena mara mbili ya ulivolipiwa marekani.
Yani kutuma uku kuja Tz kwa njia ya posta ni rahisi Sana,ila nilituma mzigo kwa $250 ulipofika Tanzania posta wakakataa kuutoa adi nilivolipia laki 5 na nusu, so ndo apo sielewi kwanini inakua ivyo? Sababu mzigo ukitoka Tz kuja marekani unaletwa adi mlangoni na sidaiwi kitu ,so iyo hela wanacharge Tz wanasema ni kodi, how come kodi inalipwa marabili? Au me ndo sielewi?Kwa ufahamu wangu mdogo, njia ya posta ndio nafuu zaidi
Hapa panahitaji ufafanuzi.
Hiyo ghalama mara mbili nini?
- Ghalama ya usafirishaji??
- Je ni ghalama ya kodi??
Kimsingi iko hivi
- Waweza kununua item USA kwa dola 2, na item hiyo hiyo ikasafirishwa kuja Tanzania kwa Dola 21
Iwapo mzigo umekaguliwa na kuonekana inatakiwa ulipiwe kodi, huwa hakuna namna ni kulipia tu.Yani kutuma uku kuja Tz kwa njia ya posta ni rahisi Sana,ila nilituma mzigo kwa $250 ulipofika Tanzania posta wakakataa kuutoa adi nilivolipia laki 5 na nusu, so ndo apo sielewi kwanini inakua ivyo? Sababu mzigo ukitoka Tz kuja marekani unaletwa adi mlangoni na sidaiwi kitu ,so iyo hela wanacharge Tz wanasema ni kodi, how come kodi inalipwa marabili? Au me ndo sielewi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nchini kodi hulipiwa mara moja Tu, pindi mzigo uingiapo nchini.inalipwa marabili? Au me ndo sielewi?
Yani kutuma uku kuja Tz kwa njia ya posta ni rahisi Sana,ila nilituma mzigo kwa $250 ulipofika Tanzania posta wakakataa kuutoa adi nilivolipia laki 5 na nusu, so ndo apo sielewi kwanini inakua ivyo? Sababu mzigo ukitoka Tz kuja marekani unaletwa adi mlangoni na sidaiwi kitu ,so iyo hela wanacharge Tz wanasema ni kodi, how come kodi inalipwa marabili? Au me ndo sielewi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Okay, asante[emoji120] ngoja nipitie iyo hudumaIwapo mzigo umekaguliwa na kuonekana inatakiwa ulipiwe kodi, huwa hakuna namna ni kulipia tu.
Na kiasi cha kodi utakacholipa hutegemea thamani ya mzigo, pasipo kujali ni kiasi gani kimetumika kusafirishia
Kwa nchini kodi hulipiwa mara moja Tu, pindi mzigo uingiapo nchini.
Je inakuwaje unasema umelipia mara mbili?
Maana mara kadhaa nimeingiza mizigo nchini, kupitia hii huduma hapa www.bit.ly/101buy4me toka USA na mataifa mengine ila kodi huwa nalipa mara moja tu kwa mizigo yote inayotakiwa nilipie kodi.
Wanavodai ni kodi ila ninachoshangaa ni inakuwaje kodi inalipwa US na mzigo ukifika TZ kodi inalipwa tena..Ila nimezhaekewa maybe ndo system na inawezekana wanacharge kulingana na declare valueJe ulipewa receipt na kinaonesha ni nini ulicholipia?
Wanavodai ni kodi ila ninachoshangaa ni inakuwaje kodi inalipwa US na mzigo ukifika TZ kodi inalipwa tena..Ila nimezhaekewa maybe ndo system na inawezekana wanacharge kulingana na declare value
Sent using Jamii Forums mobile app
Okay Asante.Pole.navyoelewa huwa kuna importation duty na VAT.sijui lakini wataalam watasema.
Hii avatar kama ni wewe hongera
Lol, what's wrong with the Avatar??..just thinking out loud too..Msaidie mwenzio, atoe avatar yake hapo kama kweli picha hiyo ni yeye ukimpa hongera anaweza akapotea zaidi.
Any way, Nimewaza kwa sauti.
Lol, what's wrong with the Avatar??..just thinking out loud too..
Sent using Jamii Forums mobile app