Njia raisi ya kusafirisha mizigo toka Marekani adi Tanzania

Joined
Aug 12, 2017
Posts
16
Reaction score
4
Habari zenu jamani, nilikua naomba kama kuna mtu anajua njia rahisi ya kutuma mizigo kutoka Marekani kwenda Tanzania anipe mwongozo.Coz sielewi Tanzania posta wanatumia vigezo gani wanapo charge mzigo tena mara mbili ya ulivolipiwa marekani.Plz naomba anaefaham anielekeze

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Coz sielewi Tanzania posta wanatumia vigezo gani wanapo charge mzigo tena mara mbili ya ulivolipiwa marekani.
Kwa ufahamu wangu mdogo, njia ya posta ndio nafuu zaidi

Hapa panahitaji ufafanuzi.

Hiyo ghalama mara mbili nini?
- Ghalama ya usafirishaji??
- Je ni ghalama ya kodi??

Kimsingi iko hivi
- Waweza kununua item USA kwa dola 2, na item hiyo hiyo ikasafirishwa kuja Tanzania kwa Dola 21
 
Yani kutuma uku kuja Tz kwa njia ya posta ni rahisi Sana,ila nilituma mzigo kwa $250 ulipofika Tanzania posta wakakataa kuutoa adi nilivolipia laki 5 na nusu, so ndo apo sielewi kwanini inakua ivyo? Sababu mzigo ukitoka Tz kuja marekani unaletwa adi mlangoni na sidaiwi kitu ,so iyo hela wanacharge Tz wanasema ni kodi, how come kodi inalipwa marabili? Au me ndo sielewi?

Iwapo mzigo umekaguliwa na kuonekana inatakiwa ulipiwe kodi, huwa hakuna namna ni kulipia tu.

Na kiasi cha kodi utakacholipa hutegemea thamani ya mzigo, pasipo kujali ni kiasi gani kimetumika kusafirishia
inalipwa marabili? Au me ndo sielewi?
Kwa nchini kodi hulipiwa mara moja Tu, pindi mzigo uingiapo nchini.

Je inakuwaje unasema umelipia mara mbili?

Maana mara kadhaa nimeingiza mizigo nchini, kupitia hii huduma hapa www.bit.ly/101buy4me toka USA na mataifa mengine ila kodi huwa nalipa mara moja tu kwa mizigo yote inayotakiwa nilipie kodi.
 
Je ulipewa receipt na kinaonesha ni nini ulicholipia?
 
Iwapo mzigo umekaguliwa na kuonekana inatakiwa ulipiwe kodi, huwa hakuna namna ni kulipia tu.

Na kiasi cha kodi utakacholipa hutegemea thamani ya mzigo, pasipo kujali ni kiasi gani kimetumika kusafirishia

Kwa nchini kodi hulipiwa mara moja Tu, pindi mzigo uingiapo nchini.

Je inakuwaje unasema umelipia mara mbili?

Maana mara kadhaa nimeingiza mizigo nchini, kupitia hii huduma hapa www.bit.ly/101buy4me toka USA na mataifa mengine ila kodi huwa nalipa mara moja tu kwa mizigo yote inayotakiwa nilipie kodi.
Okay, asante[emoji120] ngoja nipitie iyo huduma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii avatar kama ni wewe hongera

Msaidie mwenzio, atoe avatar yake hapo kama kweli picha hiyo ni yeye ukimpa hongera anaweza akapotea zaidi.

Any way, Nimewaza kwa sauti.
 
Back
Top Bottom