Njia Sahihi ya utunzaji WA pesa (Alina)

Njia Sahihi ya utunzaji WA pesa (Alina)

Kopesha watu kwa kuweka vitu lehani vya thamani kubwa

kAzibadilishe ziwe dola afu uzitunze au uzichimbie
 
Nipe mimi nikuwekeee ila zikipotea sitaki kesi
 
Ukiweza kutuñza pesa hata majini utaweza fuga
 
Naomba comment zenu wakuu
Formula:

Bajeti 50/30/20

50% = 0.5 ->Matumizi ya lazima
30% = 0.3 ->Matumizi yasiyo na ulazima
20% = 0.2 ->Akiba

Mfano: una afukumi 10,000

10,000×0.5 = 5000
10,000×0.3 = 3000
10,000×0.2 = 2000

Akiba yako afumbili 2000 ichimbi chini baada ya mwaka

2000×365 = 730,000

Utakua umeweka akiba ya kutosha hapo
 
Formula:

Bajeti 50/30/20

50% = 0.5 ->Matumizi ya lazima
30% = 0.3 ->Matumizi yasiyo na ulazima
20% = 0.2 ->Akiba

Mfano: una afukumi 10,000

10,000×0.5 = 5000
10,000×0.3 = 3000
10,000×0.2 = 2000

Akiba yako afumbili 2000 ichimbi chini baada ya mwaka

2000×365 = 730,000

Utakua umeweka akiba ya kutosha hapo
Afukumi du!
 
Back
Top Bottom