NJIA SAHIHI ZA KUTOA TAARIFA ZA UDHALILISHAJI KWA KIONGOZI MKUBWA KWA KISASA PLs USHAURI.

Maelezo yanajichanganya,inavyoonekana tangu mwanzo kuna vitu ulivigundua ila ukawa kimya sababu tu eti ya fadhila za muheshimiwa,hata hivyo inavyoonekana mdogo wako alianzia hapo UDSM huo mchezo na ndio maana ikawa rahisi muheshimiwa kumpa shavu ili ajilie kiulaini.
 
acha hasira,anaweza kukumega hata wewe,tumia busara!!kwanza huyo dogo **** sana,atawezaje kutumika akili nyingi sana kupiga picha nae badala ya kuzitumia kusoma nyakati kabla?kama kuliwa 0713 tayari na huwezi kufuta ukweli huo,sana sana atammwaga asipompa tena na hiyo masters ikaishia njiani na kuikosa wakati yeye katoa mambo.
 
Yaani naomba uniarike siku ya kwenda kumfanyizia IMENIUMA KWA KWELI.
 
UKI,
Leo ni Siku ya 20 imepita toka uje na habari hii ya mdogo wako. Je, umefikia wapi?

Kwavile uliileta habari hii hapa Jamvini, basi nivyema ukatupatia mrejesho wake!!! Au, bado hujapata hiyo njia sahihi ya kumchukulia huyo firauni?
 
ninamashaka na huyo mdogo wako huenda huu mchezo umeanza kitambo sana, ila pole sana namshauri achunguze na afya yake maana inawezekana jamaa afya sio nzuri, maana kutolewa bikra kunaambatana na michubuko.
 

Wasiliana na mawakili wa chadema watakusaidia unaweza mtafuta Tundu lisu au Mabere marando hapo piga ua watalifikisha kunakohusika hasa ukizingatia aliyefanya unyama huo ni Gamba lazima ajivue
 

UKI:
Je, umefikia wapi juu ya issue ya huyo mdogo wako? Ni jambo jema kutoa "feedback" kwa watu uliowashirikisha tatizo lako japo si-lazima, kuliko kukaa kimya. Kwani, kimya maana yake; umefanikiwa, bado hujafanikiwa na au pengine dogo wako kajirekebisha. Je. wewe uko kundi lipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…