Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,959
- 24,935
Yule ni jinga kabisa mkuu.Hahah!! Mkuu jamaa mta wa pili lengo lilikua kujifaharisha tujue yupo nje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule ni jinga kabisa mkuu.Hahah!! Mkuu jamaa mta wa pili lengo lilikua kujifaharisha tujue yupo nje
[emoji23][emoji23]Yule ni jinga kabisa mkuu.
Ukuje bibi mama[emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nakuja mm jamani
Nakuja mama tupeane tu hizo mbinu za kunywa belaireUkuje bibi mama[emoji16]
Cheers[emoji482] [emoji482]Nakuja mama tupeane tu hizo mbinu za kunywa belaire
[emoji482][emoji482][emoji482] cheers babee matap tap yangu bye byeCheers[emoji482] [emoji482]
Mikono juuu...mikono juu mwendo wa mateka mikono juuu....oooohyoooooooo weka baaariaaaa jaaamaniiiiiiiii[emoji482][emoji482][emoji482] cheers babee matap tap yangu bye bye
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mwehu weweMikono juuu...mikono juu mwendo wa mateka mikono juuu....oooohyoooooooo weka baaariaaaa jaaamaniiiiiiiii
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mwehu wewe
Ha ha ha aaaa,, umenikumbusha mama mmoja mama ntilie alikuwa analaza vyakula kila siku wakati wenzake ikfika saa 12 tu chakula kimeisha. Sasa akawa anahisi wanamchawia, naye akaenda kwa sangoma. Masharti sasa ndiyo yalinivunja mbavu eti kila siku amka saa 11 alfajiri uwe umeshaweka chai jikoni na vitafunwa viko tayari, ugali hakikisha umeiva inavyofika saa 5 asubuhi. Kabla hujafanya kazi yoyote hakikisha umepiga deki chumba chako ili kuondoa gundu la jana, akapewa na dawa ya unga ya kunyunyuzia kwenye chumba. Ujinga mama yule siku ya kwanza tu chakula kikaisha kabla ya wenzake, mbio kwenda kwa mganga kutoa taarifa eti dawa imefanya kazi, ama kweli WAJINGA NDIO WALIWAO!!"Siku moja nilienda kwa Mganga ili anipe dawa ya Utajiri.
Akaniuliza una shilingi ngapi? Nikamwambia milioni 10
- Akaniambia nizipeleke kwake, nami nikafanya hivyo
akazifanyia matambiko yake kisha akanipa masharti ambayo mizimu wametoa.
1.Sitakiwi Kulala na mwanamke wa nje ya ndoa kwa miaka 7
2.Sitakiwi kunywa pombe.
3.Pesa zitakazotokana na zile zilizofanyiwa tambiko hazitakiwi kutolea mchango wowote
Harusi, msiba, mpira n.k.
4. Nitafute pesa kwa njia nyingine ninayoijua lakini pesa zile zilizotambikiwa
hazitakiwi kutumika hata kununulia chakula cha nyumbani mpaka ipite miaka
mitano.
Baada ya hapo nitakuwa Huru kuzitumia."
Hii nilisimuliwa
Dah umenikumbusha nina jamaa yangu mchepuko wake ukija kijiweni mara zote anauagizia Hennessy for a cool 80,000/-. Chupa ikifunguliwa harufu mezani inabadilika!Umejivuruga mwenyewe mfyuuu,njoo nikupe mbinu za kunywa Henethii[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka hyo jamaniii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mikono juuu...mikono juu mwendo wa mateka mikono juuu....oooohyoooooooo weka baaariaaaa jaaamaniiiiiiiii
Yaani weweee[emoji34]Nimecheka hyo jamaniii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ps;hebu njoo chemba kwanza
Njoo bas p,najua umenikasirikia njoo tuyajenge mamaYaani weweee[emoji34]