Njia sita za kuepuka umaskini kwa kijana wa leo

Kama Mathematics ina formula ila bado kuna watu wakoswa ije kuwa maisha yasiyokuwa na formula? acha watu waishi kulingana na wanavyoona inawafaa
 
Kuna watu wanazunguka wakitoa ushauli wanaita semina za mafanikio kwa mpunga wa maana Na chakula, hawa nao ni wazururaji tu, maisha kwa upande wa mafanikio kuna kitu kinaitwa kudra hapo ni mwisho wa maelezo
 
Hiyo kwenda kunywa na kula Sehemu za garama kujunuika na madon kidogo kwangu ina mushkeli.....
Mengine yote naunga mkono

Ova
 
mtoa mada kwakuwa wewe umeyafanya hayo muda bhas utakuw unajiweza,swali ni je Net worth yako inafika japo 50,000USD?
 
Ha ha ha aaaa,, umenikumbusha mama mmoja mama ntilie alikuwa analaza vyakula kila siku wakati wenzake ikfika saa 12 tu chakula kimeisha. Sasa akawa anahisi wanamchawia, naye akaenda kwa sangoma. Masharti sasa ndiyo yalinivunja mbavu eti kila siku amka saa 11 alfajiri uwe umeshaweka chai jikoni na vitafunwa viko tayari, ugali hakikisha umeiva inavyofika saa 5 asubuhi. Kabla hujafanya kazi yoyote hakikisha umepiga deki chumba chako ili kuondoa gundu la jana, akapewa na dawa ya unga ya kunyunyuzia kwenye chumba. Ujinga mama yule siku ya kwanza tu chakula kikaisha kabla ya wenzake, mbio kwenda kwa mganga kutoa taarifa eti dawa imefanya kazi, ama kweli WAJINGA NDIO WALIWAO!!
 
Umejivuruga mwenyewe mfyuuu,njoo nikupe mbinu za kunywa Henethii[emoji23][emoji23][emoji23]
Dah umenikumbusha nina jamaa yangu mchepuko wake ukija kijiweni mara zote anauagizia Hennessy for a cool 80,000/-. Chupa ikifunguliwa harufu mezani inabadilika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…