Njia ya asili ya kusafisha sinki

Njia ya asili ya kusafisha sinki

Joined
Jan 11, 2019
Posts
94
Reaction score
162
Wakuu heshima kwenu?

Naomba kujuzwa kwa mwenye kufahamu njia ya asili ya kusafisha masink, yaan kung'arisha masinki bila kutumia dawa za kemikali.
 
Siki pia husaidia kuondosha uchafu sugu na harufu zisizotakiwa. Kama ni pachafu sana unatumia bila kuongeza maji.
 
Back
Top Bottom