Lastbornson
Member
- Jan 21, 2018
- 87
- 49
Ushauri wenu tafadhali, kwa anayejua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msumeno
Ushauri wenu tafadhali, kwa anayejua.
Nitafute inboxUshauri wenu tafadhali, kwa anayejua.
Ahsante sana mkuu. Kwa Kiswahili Cumis ni nini na kwa hapa Tz inapatikanaje?
cumin kwa Kiswahili nini?Ahsante sana mkuu. Kwa Kiswahili Cumis ni nini na kwa hapa Tz inapatikanaje?
Jamani naona tunaweza kuuana bure humu jamvini maana hizo acid zote ndani ya tumbo tupu. Mbona ni kazi kweli kweli.Usiku kabla huja lala chukua tangawizi 1kubwa isage giliglani fungu moja ama moja na nusu saga kwenye blend limao 1huo mchanganyiko unatakiwa upate glas moja asubuhi kabla hujala chochote mdalasini kijiko cha chakula asali mbichi kijiko kimoja cha chakula veneg acid vijiko viwili limao vijiko 2maji ya uvuguvugu na yenyewe upate glas 1ila mdalasi unatakiwa maji ya moto yakishapoa ndiyo unachanganya hivyo vingine
Daah....kwa siku unakata kilo..Mpango mzima ni 1*mazoezi*2. epuka kula wanga hasa wakati wa usiku*3.vinywaji vyenye sukari nyingi piga chini*4....kati ya vitu vyote mazoezi ndio mfalme wa uzito* kwa siku moja tu unaweza kupunguza kilo 1*hasa mazoezi ya kuruka kamba na kukimbia cha kuzingati we toka jasho la kutosha.