Njia ya haraka ya kupunguza mafuta mwilini

Njia ya haraka ya kupunguza mafuta mwilini

Usiku kabla huja lala chukua tangawizi 1kubwa isage giliglani fungu moja ama moja na nusu saga kwenye blend limao 1huo mchanganyiko unatakiwa upate glas moja asubuhi kabla hujala chochote mdalasini kijiko cha chakula asali mbichi kijiko kimoja cha chakula veneg acid vijiko viwili limao vijiko 2maji ya uvuguvugu na yenyewe upate glas 1ila mdalasi unatakiwa maji ya moto yakishapoa ndiyo unachanganya hivyo vingine
Hili ni somo la kutengeneza sumu au kemikali?
 
Fanya mazoezi alaf kila asubuhi badala ya chai weka kijiko kimoja cha mdalasini na asali
 
Usiku kabla huja lala chukua tangawizi 1kubwa isage giliglani fungu moja ama moja na nusu saga kwenye blend limao 1huo mchanganyiko unatakiwa upate glas moja asubuhi kabla hujala chochote mdalasini kijiko cha chakula asali mbichi kijiko kimoja cha chakula veneg acid vijiko viwili limao vijiko 2maji ya uvuguvugu na yenyewe upate glas 1ila mdalasi unatakiwa maji ya moto yakishapoa ndiyo unachanganya hivyo vingine
Asante sana ndugu yangu katika jf
 
Mpango mzima ni 1*mazoezi*2. epuka kula wanga hasa wakati wa usiku*3.vinywaji vyenye sukari nyingi piga chini*4....kati ya vitu vyote mazoezi ndio mfalme wa uzito* kwa siku moja tu unaweza kupunguza kilo 1*hasa mazoezi ya kuruka kamba na kukimbia cha kuzingati we toka jasho la kutosha.
Upon sawa kaka, asante
 
Ukiweza kutokula usiku na kupunguza vyakula vyenye mafuta pamoja na maji ya vuguvugu yenye limao kila asbh na usiku kabla hujalala,utakuwa umewin
 
Kama unaweza kunywa juisi ya limao asubuhi iwe yamoto kiasi, baada ya nusu saa unaweza pata breakfast.. Waweza kula matunda na mboga mboga continously for 1 month unapungua hata zaidi ya kilo 10.
 
Back
Top Bottom