Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Duuuhhhh hapana mkuuu , mbwembwe tu izo.. Kuchangamsha Uzi na kusogeza siku ,nimeoa ujue !!...Unafos penz mjomba,Fake ID,humjui unataka mtu akuweke akilin,hahahah,..jokin tu bro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuuhhhh hapana mkuuu , mbwembwe tu izo.. Kuchangamsha Uzi na kusogeza siku ,nimeoa ujue !!...Unafos penz mjomba,Fake ID,humjui unataka mtu akuweke akilin,hahahah,..jokin tu bro
Hili ni somo la kutengeneza sumu au kemikali?Usiku kabla huja lala chukua tangawizi 1kubwa isage giliglani fungu moja ama moja na nusu saga kwenye blend limao 1huo mchanganyiko unatakiwa upate glas moja asubuhi kabla hujala chochote mdalasini kijiko cha chakula asali mbichi kijiko kimoja cha chakula veneg acid vijiko viwili limao vijiko 2maji ya uvuguvugu na yenyewe upate glas 1ila mdalasi unatakiwa maji ya moto yakishapoa ndiyo unachanganya hivyo vingine
Tafuta StressUshauri wenu tafadhali, kwa anayejua.
Hahaha,bas sawa jembe,pa1 sanaDuuuhhhh hapana mkuuu , mbwembwe tu izo.. Kuchangamsha Uzi na kusogeza siku ,nimeoa ujue !!...
Ni bizari nyembamba wanayopikia pilau.Msumeno
Hiyo Spice - CUMIN - inapatikana wapi hapo Dar?
Pamoja Mkuu !!Hahaha,bas sawa jembe,pa1 sana
Asante sana kwa ushauri.mazoezi mkuu, pambana na mazoeZi
Asante, cumin seeds kwa kiswalili zinaitwaje kiongizi?cumin seeds for weight loss
Nimejifunza sana, asante sana ndugu
Asante sana ndugu yangu katika jfUsiku kabla huja lala chukua tangawizi 1kubwa isage giliglani fungu moja ama moja na nusu saga kwenye blend limao 1huo mchanganyiko unatakiwa upate glas moja asubuhi kabla hujala chochote mdalasini kijiko cha chakula asali mbichi kijiko kimoja cha chakula veneg acid vijiko viwili limao vijiko 2maji ya uvuguvugu na yenyewe upate glas 1ila mdalasi unatakiwa maji ya moto yakishapoa ndiyo unachanganya hivyo vingine
Inbox..! Hapa ni bora zaidi kwa faida ya wengine piaNitafute inbox
Upon sawa kaka, asanteMpango mzima ni 1*mazoezi*2. epuka kula wanga hasa wakati wa usiku*3.vinywaji vyenye sukari nyingi piga chini*4....kati ya vitu vyote mazoezi ndio mfalme wa uzito* kwa siku moja tu unaweza kupunguza kilo 1*hasa mazoezi ya kuruka kamba na kukimbia cha kuzingati we toka jasho la kutosha.
Kuwa JF bwana, sometimes is funnyTomb.a kila ukijojoa uzito unapungua
Daah, aisee!Ulipokuwa unafakamia makuku na makitimoto, mabia na machipsi uliwakumbuka hawa wenzako unaowaomba ushauri leo?
Cumin inaitwa uzilee kwa kiswahilicumin kwa Kiswahili nini?