Njia ya haraka ya kupunguza uzito Wa mwili

Somi

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2009
Posts
3,921
Reaction score
4,858
Mahitaji : limau 5 , kitunguu saumu Kimoja, tangawizi pisi moja na maji Lita 2

Unaanza na kukamulia hizo limau kwenye bakuli limau ulizokamua usitiupe zitakuja kutumika baadae
Katakata kitunguu saumu na tangawizi Changanya na hio juisi ya limau halafu saga huo mchanganyo.
Chemsha maji ya lita 2 huku umeweka ndani mabaki ya limau ulizokamua na ukipenda ongezea na ndimu sio lazima kwenye huo mchemsho. Changanya ule mchanganyiko wa juisi ya limau na tangawizi na kitunguu saumu vilivyo sagwa kwenye mchemsho wa mabaki ya limau na ndimu.
Baada ya hapo uchuje ondoa mabaki ya limau na ndimu unywe
Matokeo ni ndani ya wiki chache unapoteza kilo 20 au zaidi .
 
Wajinga ndio waliwao[emoji848][emoji848]
 
Vipi kushinda unasoma gazeti karibu na choo huku umevaa khanga
 
Mahitaji : limau 5 , kitunguu saumu Kimoja, tangawizi pisi moja na maji Lita 2

Unaanza na kukamulia hizo limau kwenye bakuli limau ulizokamua usitiupe zitakuja kutumika baadae
Katakata kitunguu saumu na tangawizi Changanya na hio juisi ya limau halafu saga huo mchanganyo.
Chemsha maji ya lita 2 huku umeweka ndani mabaki ya limau ulizokamua na ukipenda ongezea na ndimu sio lazima kwenye huo mchemsho. Changanya ule mchanganyiko wa juisi ya limau na tangawizi na kitunguu saumu vilivyo sagwa kwenye mchemsho wa mabaki ya limau na ndimu.
Baada ya hapo uchuje ondoa mabaki ya limau na ndimu unywe
Matokeo ni ndani ya wiki chache unapoteza kilo 20 au zaidi .
Ni dozi moja na hairudiwi na je hizo lita mbili unakunywaje na kwa muda gani?
 
Unaweza kupanga kuinywa kila siku au kila baada ya siku 2 au 3.
Ukiweza Lita mbili unakunywa kwa Mara moja au kwa awamu kidogo kidogo ndani ya saa moja
 
Njia rahisi ya kupunguza uzito faster ni kudaiwa wewe kakope sehemu kama tano hivi hasa vikoba na kwenye banks
 
Back
Top Bottom