Njia ya hekaluni

Njia ya hekaluni

Kuna wimbo upo kwenye vile vitabu vya wasabato

Ebwanaaaa eeeeh ... Ninaukubali sana

Yanipasa kuwa nae, Mwokozi Bwana wangu!
Akiwa karibu nami, Napata nguvu kweli!
Moyo hauogopi! Nitakwenda apendapo
Kwa kuwa anilindaaaa!
 
Kuna wimbo upo kwenye vile vitabu vya wasabato

Ebwanaaaa eeeeh ... Ninaukubali sana

Yanipasa kuwa nae, Mwokozi Bwana wangu!
Akiwa karibu nami, Napata nguvu kweli!
Moyo hauogopi! Nitakwenda apendapo
Kwa kuwa anilindaaaa!
Siufahamu huo mbona
 
Nimeshawishika kuuadd kwenye playlist yangu
Ni wimbo mzuri sana!

Unajua, Kuna njia fulani ya usikilizaji wa nyimbo kwa kutafakari mtu akiitumia.

Huwa Kuna maajabu hutokea.

Kwa mfano katika wimbo huo!

Kuna verse inasema;

Yanipasa kuwa naye, maisha yangu yote!
YAKIWAPO MAJARIBU NA MASHAKA YOYOTE!
MOYO HAUGOPI KABISA WALA KUTIKISIKA
NITAKWENDA APENDAPO KWA KUWA ANILINDA.

Sasa katika Nyakati zangu ngumu, nikiwa nasikilizia huu wimbo katika verse hiyo, hunitia nguvu sana
 
Back
Top Bottom