Sawa mtumishi,Barikiwa pia kwa wimbo
Siufahamu huo mbonaKuna wimbo upo kwenye vile vitabu vya wasabato
Ebwanaaaa eeeeh ... Ninaukubali sana
Yanipasa kuwa nae, Mwokozi Bwana wangu!
Akiwa karibu nami, Napata nguvu kweli!
Moyo hauogopi! Nitakwenda apendapo
Kwa kuwa anilindaaaa!
Unahitaji kuusikiliza? Ni wimbo mzuri sana!Siufahamu huo mbona
Ni wimbo mzuri sana!Nimeshawishika kuuadd kwenye playlist yangu
Sikiliza na huu toka Kurasini
View attachment 3268302
Na Mimi anikumbuke! Siku atakaporudi!Sikiliza na huu toka Kurasini
View attachment 3268302