Njia ya Kibiti kwenda kwenye laana ya Cabo Delgado

Details za kutosha, umetisha sana Mkuu.
Nasubiri muendelezo.
 
Inasemekana kikosi cha Wagner walikuwa wakijiamini kupitiliza huku Jeshi la Msumbiji wakiwa na uoga.

Wagner wanawaambia jeahi la Msumbiji hakuna nidhamu na hawajajiandaa kupambana. Hivyo Wagner wakachora.

Maelekezo waliyokuwa wakitoa Wagner Jeshi la Msumbiji wanakuwa kama wazito tokana na uoga.

Thats it.
 
Thanks for this.

Kinachoendelea Msumbiji ni part and parcel ya ile project inaitwa FRENCH AFRICA.
Congo Brazzaville wamekuwa kwenye hii project miaka mingi sana kupitia Pascal Lissuba na Dennis Sassungwesso, Gabon wamekuwa kwenye hii project miaka mingi kupitia Marehemu Omar Bongo na Mwanaye.

Msumbiji wameingia rasmi kwenye hii project na hii laana ilianzia pale Total alipoinunua Anadarko, Gas itachimbwa pale na amani Msumbiji na kusini mwa Tanzania itakuwa ni tatizo kwa miaka mingi.

Magaidi wako kwenye payroll ya mfaransa na lengo ni kudestabilize eneo na kuingia contracts za ulinzi ambayo hela yake itatoka kwenye mikataba ya gas na matokeo yake Msumbiji watakosa Kila kitu kwa sababu yakusaidiwa kwenye ulinzi.
Kidogo kidogo, hodi hodi Tanzania, umakini usipoweka na watu wasipoacha ujinga wakuendekeza siasa ile kusini inaweza ikawa haitawaliki.

Upumbavu, ujinga na Tamaa za viongozi wa Africa leo hii umeifikisha hapa Africa.
Africa Moja kupitia AU yenye nguvu ndio ingeweza kusimamisha haya.

Note: Eneo like la Msumbiji na eneo la kusini la Tanzania kuna reserve kubwa sana ya gas.
Tusisahau moja ya chanzo cha ukoloni ni industrial revolution huko ULAYA na AMERICA.
 
Wagner ni contractor anayelipwa hela nyingi na kulipa vizuri askari wake huku wakiwa na all special gears for combat operations.

Hawa wamakonde ni askari wenye mishahara duni au haipo kabisa, mafunzo duni, vifaa duni kifupi No motivation wala discipline.

Magaidi ni vijana waliolishwa sumu kali nakuamini wanachokipigania lakini nyuma yake waliko mabosi zao ni project nyingine yenye maslahi mapana na ambayo inaweza kugharamiwa Kwa hela yeyote ile ili kutimiza malengo, ikiwemo hata kuwalipa Wagner waachane na hiyo project.
 
Safi Mkuu kipande cha kwa Nche nkapa umefika lini
 
Ni sahihi.
Haya mambo ni maslahi.
 
Nilipata muda mfupi wa kula bata na kubadilishana mawazo na mmoja wa askari wa mozambique. Mwez may20/2024.

Nikamuuliza halihalisi ya huko vitani,alikuwa amekuja kwenye msiba wa baba yake jimbo la nassa_lichinga.

Akasema huko sio mchezo vijana wana uwa kinomanoma na hadi leo hawajajua wanapata wapi silaha.

Nikamwambia ila nyinyi mnadhana za kisasa kuzidi wao,akasema nikweli kwani kuna majeshi ya nchi tofauti wapo nao na hata drone wanzazo ila wakizituma kwenye mission haipati target anaamini wana vifaa vya kupoteza muelekeo.ingawa haikunifanya niamini kufell kwa drone.

Nikamuuliza mission zao wana fanyaje.akasema wakienda kijiji ambacho kinashikiliwa na waasi wakifanikiwa kukikomboa wana weka base wangine wanazidi kusonga mbele kufinya eneo la adui.

Akaongea kitu kingine kwamba walipo kuwa wanawauwa wale waasi wakiwapekuwa.wanawakuta na pesa nyingi mifukoni.kwamba wanawapa pesa kabisa ndio wanaingia vitani.

Akasema unakuta sisi mishahara ni midogo watu wanavunjika mioyo ya kupigana.wanapata mawazo ya kushirikiana nao.kwani serikari imejaa rushwa.wengi huamini kuwa serkari inamkono wake kwa waasi.

Kwasababu mozambique imebalikiwa adini na vitu vingine ambavyo hizo biashara katika eneo la waasi saiz wanaendesha hizo biashara na mataifa ya nje.
 
Cabo Delgado, ardhi halali ya Tanganyika iliyoporwa na maswahiba wa vita vya kwanza vya Dunia mikononi mwa Mjerumani. Nashauri Serikali ya Tanzania ianze mchakato wa Kisheria wa kuirudisha kipande kule Cha ardhi ambacho Mozambique wameshindwa kukiendeleza na kukitawala kwa usawa. Pia tuanze mchakato wa Kisheria kuirudisha Ruanda na Urundi ndani ya Himaya ya Tanganyika. Ni hayo tu, naenda kukojoa
 
Magaidi yanataka nini Msumbiji? Matakwa yao yakitimizwa yataacha kuua raia?
 
Good work
Brother unajua kuandika hongera sana hii ndio jamii forums tunayoimiss
 
Sabb ya Mfaransa kupeleka vurugu zote hizi ni nini ukizingatia kama ni mafuta amesha ruhusiwa kuchimba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ