Njia ya Kibiti kwenda kwenye laana ya Cabo Delgado

Njia ya Kibiti kwenda kwenye laana ya Cabo Delgado

Kama hiyo ndiyo maana yake, basi hakuna mafundisho hayo au hata moja la namna hiyo Katika Uislam.
uko sawa kabisa wako magaidi wa kisiasa mfano aliyekuwa anaitwa Carlos the Jackal.Bahati mbaya sana nchi za magharibi ugaidi unaunasibisha na uislam.Nchi hata ya Marekani au Wingereza na wengine wanafanya ugaidi.Nitoe mfano CIA wanapofanikisha mipango ya raisi wa nchi flani auwawe au apinduliwe ule ni ugaidi.
Patrice Lumumba alivyouwawa kwa ushirikiano wa CIA na Ubelgiji ule ni ugaidi.
Marekani ni moja ya nchi yenye madhambi makubwa mno duniani lakini inapenda kulazimisha nchi zingine kukubali sheria ya Ugaidi.
 
Kama hiyo ndiyo maana yake, basi hakuna mafundisho hayo au hata moja la namna hiyo Katika Uislam.
Najisikia fahari sana kwa mara ya kwanza kupata comment kwa mtu mmoja almaarufu sana anaitwa FaizaFoxy.
Mti mzuri ndio unapigwa mawe ndio umaarufu wake uko hapo
Ahsante sana.
Labda niongezee tu kuna mahali nimesoma sasa hivi kuwa kifo cha Samora Machel Africa Kusini Makaburu walihusika na CIA ya Marekani.Ndege yake ilivyoanguka polisi wa Makaburi walikuja masaa kadhaa baadae sana ila kilochowaleta ni kuangalia je Samora amekufa au laa.Baada ya hapo walichukua nyaraka zake zote alizokuwa nazo kutoka kwenye mkutano Zambia.
Je hatuwezi sema Marekani ni magaidi?
 
Ukifuatilia kwa undan utakuta kuna uroho wa mali uko ndan yake yaan mmoja kala mwenzake naye anataka kula kwa hiyo wanavurugiana kula
 
Back
Top Bottom