Njia ya Kibiti kwenda kwenye laana ya Cabo Delgado

Hii habari inanikumbusha mbali, wakati sakata hili likishika hatamu, nilikuwa huko kusini karibu na maeneo yanayolengwa.

Hakika hizi habari heri kuzisikia kwenye vyombo vya habari kuliko kuwa eneo ambalo ni target ya magaidi.

Kuna baadhi ya siku tulikuwa tunalala huku roho tumezitundika juu ya mkorosho, kama tutakutwa basi ndo hivyo tena.

Ndugu SteveMollel ukiendelea naomba unitag.
 
Nyikani itarudi kuikomboa Africa nzima tujitegemee.
 
fact ๐Ÿ‘
 
Kwamba hao magaidi wameshikilia dhahabu na gesi kisha wanauza nje?
 
Basi Tanganyika ilikuwa kubwa mno inabidi tufanye mchakato huo mkoa urudi Tanganyika, vipi kuhusu hiyo Niassa? Ila ramani ya Msumbiji imekaa ki mchongo sana angalia hapo ilivyo ingia Malawi kisha ikatoka. Alafu huwa nashangaa sana Burundi na Rwanda eti ni nchi mbili zinajitegemea, ilifaa iwe mikoa ya Tanganyika.
 
msumbiji ni nchi basi. ni kikundi cha wahuni na watunga shanga. hamna nchi pale ni takataka jeshi lao kama la wakata viuno drc
 
Bonge
C
hapisho zuri sana ila kwa mshangao viewers wachache
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ