Majigo
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 5,519
- 1,828
Nataka Sana Kuagiza Vifaa Fulani Vya Usafi(WHOLESALE PRICE) Toka Chaina
Kuna Kampun Ilijitangaza Hapa Kuwa Inasaidia Wafanya Biashara Wadogo Kuagiza Bidhaa Kwa Bei Ya Kiwandani, Nimeongea Nao Wanasema Wanasupply Vifaa Vya Umeme Tu..Na Si Vinginevyo!
Sasa Wakuu Kama Kuna Kampuni Itakayokamilisha Lengo Langu
Naomba Msaada
Pia Kama Una Ushauri Wa Njia Mbadala Unaweza Kunisaidia!!
Ahsante Sana!!