Njia ya kupata moyo wa mwanaume ni kupitia tumbo lake

Njia ya kupata moyo wa mwanaume ni kupitia tumbo lake

Tatizo sio wanawake au wanaume,matatizo yote unayoyahona kwenye ndoa asilimia kubwa yanasababishwa na misingi ya ndoa wala sio vingine. mfano unajua kabisa mimi namwenzangu niwanandoa /familia wajao chakushangaza maigizo mengi mpaka yanazidi ulimbukeni kwaiyo swala la ndoa sio mapishi tu! japo nimoja ya sababu kati yababu nyingi.
 
Kweli yaani upikiwe chakula sio kitamu unakula huku umekunja sura hyo hamu ya kumla vizuri unaitoa wapi
We acha kufananisha kitandani na mambo ya ajabu pale unasahau hadi jina lako mkuu[emoji3] sembuse chakula kibaya!
 
Thanks for sharing! ila nyie bwana siku hizi mnapenda sana take away.. mmekua wavivu kweli..mbaya zaidi kila kitu anaachiwa beki tatu..yaani hamueleweki,hata kama sokoni niende mwenyewe nikuwekeee kila kitu ndani bado vitaozea ndani..yaani viazi vipo lakini chips za mtaani ni tamu zaidi..kuliko za kukaanga mwenyewe!
 
Shida inakuja kama mme anapenda kula haachi hela nyumbani. Anaacha buku 2. Namaama maza house izo mbwembwe zitawezekana
ambae haachi hela unachana nae .ila wapo wanaoacha hela wanakutana na wali mchuzi tu
 
Back
Top Bottom