Njia ya kupata mwanamke yeyote umtakaye

Chukua mdudu aitwaye CHANDE mchome kisha mtwange na ungawake uweke kwenye kiganja
Nenda kwa demu umtakaye na umpulizie
Hapo umeuwa kabisa mtongoze au mvute geto

Nb: Hii njia niliambiwa na watoto wenzangu utotoni sijawahi jaribu
Badilisha tu ID ujiite Binadamu Mwovu.. πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…