Unaweza kwenda kuchukulia kwenye ofisi zao.Mitandao ya simu inapokea hii mkuu?
Huhitaji kua na accont,ukishatumiwa kwa jina lako,unaenda huko Western union kupokea,unawaambia tu kua umetumiwa na nani,unawapa jina kisha na ID yako kuonyesha kua wewe ndiye uliyetumiwa.Bado sijakupata mkuu, sina account uko western union, yaan nifuate utaratibu upi
Habari Wanajamvi.
Nina ndugu yangu yupo India anahitaji kunitumia kiasi kidogo cha fedha, hivyo hatujui ni njia gani tutumie hili hiyo fedha inifikie.
Naombeni maujuzi tafadhari.
Kwenye kujisajili mbona tz haipo! Hata ukiweka nchi nyengine wanakuja kukubania kwenye code number ya nchi uliyowekea!.. what to do..??World remit unapokea moja kwa moja kwenye simu yako (Tigopesa & Mpesa).
Well kama unavyojua Tzee bado tupo nyuma kwenye huduma za kifedha kimataifa so kama vipi danganya tu.Kwenye kujisajili mbona tz haipo! Hata ukiweka nchi nyengine wanakuja kukubania kwenye code number ya nchi uliyowekea!.. what to do..??