Njia ya kupokea pesa toka India

Njia ya kupokea pesa toka India

nelvine

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2015
Posts
1,112
Reaction score
1,871
Habari Wanajamvi.

Nina ndugu yangu yupo India anahitaji kunitumia kiasi kidogo cha fedha, hivyo hatujui ni njia gani tutumie hili hiyo fedha inifikie.

Naombeni maujuzi tafadhari.
 
Bado sijakupata mkuu, sina account uko western union, yaan nifuate utaratibu upi
Huhitaji kua na accont,ukishatumiwa kwa jina lako,unaenda huko Western union kupokea,unawaambia tu kua umetumiwa na nani,unawapa jina kisha na ID yako kuonyesha kua wewe ndiye uliyetumiwa.
 
Huhitaji kua na accont,ukishatumiwa kwa jina lako,unaenda huko Western union kupokea,unawaambia tu kua umetumiwa na nani,unawapa jina kisha na ID yako kuonyesha kua wewe ndiye uliyetumiwa.
Aaah ok shukrani sana mkuu, hapo nimekupata
 
Habari Wanajamvi.

Nina ndugu yangu yupo India anahitaji kunitumia kiasi kidogo cha fedha, hivyo hatujui ni njia gani tutumie hili hiyo fedha inifikie.

Naombeni maujuzi tafadhari.

Kipindi cha kati kati hapa India walifunga utumaji wa pesa kutoka nje ya India (huwezi kutuma pesa kwenda nchi yoyote kutoka India). Western Union zilizopo India zilikuwa ni kwa ajili ya kupokea tu na si kutuma nje ya India.

Sijajua kwa sasa kama taratibu hizo zimebadilikA
 
World remit unapokea moja kwa moja kwenye simu yako (Tigopesa & Mpesa).
Kwenye kujisajili mbona tz haipo! Hata ukiweka nchi nyengine wanakuja kukubania kwenye code number ya nchi uliyowekea!.. what to do..??
 
Kwenye kujisajili mbona tz haipo! Hata ukiweka nchi nyengine wanakuja kukubania kwenye code number ya nchi uliyowekea!.. what to do..??
Well kama unavyojua Tzee bado tupo nyuma kwenye huduma za kifedha kimataifa so kama vipi danganya tu.

Ila uzuri ni kwamba kwenye kupokea hauhitaji kuwa umejisajili World Remit. Anayekutumia ndo anatakiwa kuwa amejisajili....wewe ni namba yako ya simu tu basi.
 
Back
Top Bottom