Hakika Tutakufa
Member
- Apr 30, 2018
- 6
- 4
MUNGU kk uumbaji wake hakuna mahara alikosea tena na maarifa alikupa lkn vyote uvitakavyo utavipata ikiwa tu utajishugulisha na kuitafuta AMANI ,AMANI ni tulizo la kila kitu jitenge na ukosefu wa Amani kila kiungo kitakuwa vile utakavyo lkn kama AMANI haipo kawaida viungo husinyaa vinakuwa na huzuni ndo hapo huregea na mishipa kukosa uimara hapo unategemea nn matokeo,maumbile ya kila mmoja ni matokeo ya uumbaji wake usiongeze wala kupunguza usje ukamkosea MUNGU lkn pia ukubwa c neno neno ni ubunifu tu na ukaonekana mshindi,lkn fikria sana nn ufanye kwa ajiri ya familia yako ,jamii yako na Taifa lako kwa ujumla hayo mengine ni ubatili kuna mengine tutaraum serikali ok hivi mara vile kumbe shida pia ipo upande wetu, tafuta namna gani maisha yako na familia yako yatakavyokuwa bora kuliko kutafuta kurefusha uume shui ili familia yako ifaidikeje, lbda kwa kuula au kuunyonya!tengeneza upya akili yako mtanzania.Umesahau tulivyoitwa [COLOUR=Red] Shit holes[\]