Njia ya kushinda mauti

Njia ya kushinda mauti

bahati93

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2015
Posts
1,334
Reaction score
2,463
Bila shaka hapa ulimwenguni hamna kitu kinaogofya Zaidi ya kupoteza uhai kwa viumbe hai ( WANYAMA NA BINADAMU). Hali hii hutokana na mfumo wa fahamu unaofanya kazi automatic kulinda na kudhibiti uhai usiponyoke mwilini. Kinachopelekea hudhuni kubwa kumwangukia binadamu kutokana na matokeo ya kifo yatokeapo kwake ukilinganisha na viumbe hai vingine ( Kuku, mijusi na nk ){wanyama wenye kiasi kikubwa cha ubongo wanaweza onyesha hudhuni kuondokapo kwa wenzao mf. Sokwe, Tembo nk} ni kutokana kuwa na ubongo yenye uwezo mkubwa hadi kupelekea kujitambua uwepo nafsi yake hapa duniani na uwepo wa nafsi nyingine zenye uelewa kama yenyewe.

Basi kutokana na kifo kutunyanyasa kwa mda mrefu vizazi na vizazi hadi kupelekea watu wetu wa kalamu kutunga story na kanuni za kufwata ili kutufariji ( maisha mazuri baada ya kifo) {kwa ukweli hamna anayejua} hivyo basi wana member humu ndani jibu la shida hii ni binadamu wote dunia nzima kuacha KUZALIANA hii ndo njia pekee ya kukinyima kifo wahanga wake wapya.

Huu ulimwengu tunaoishi ni ulimwengu wa mwili ( Mwili ni mateso) na kitendo cha kuzaliwa hapa duniani ni kitendo cha nafsi kunyakuliwa kutoka kwa kwenye ulimwengu wa kiroho ( huko kwenye ulimwengu wa kiroho kifo hakipo bali kuna milele na milele) ndo maana kitoto kichanga chalia baada ya kuzaliwa kwani roho inakuwa imeumia kutoka kwenye ulimwengu wa kiroho. Na kinachopelekea kitendo cha kujamiana kuwa hakifanywi hadharani kama wanyama wengine na endapo wakikutwa wanashikwa na fedhea ni kutokana na nafsi kuwa guilt kujua kuwa kufanya hivyo kutapelekea nafsi nyingine ishushwe kama matokeo.

Tuachane na dhana za kukariri ( kuja duniani kuijaza dunia) {kuongezeka kwa watu kwa pelekea maovu kuongezeka hii kutokana na kugombania mahitaji muhimu} basi kwa kuwa sisi WATANZANIA tunaonekana tunashindwa kila kitu tufanye jambo hili ili tuwe taifa la kwanza kushinda mauti (kuacha kabisa kuzaliana) baada ya hii post. Nawahakikishia wasomaji itakapofika mwaka 2128 hamna MTANZANIA yeyote ambaye anaishi kwa saa ivi hapa nchini atafariki hapa duniani. Tuwaachie wapenda vya ulimwengu sisi tufwate vya kiroho na tutaimba milele na milele.
 
Kwanini isiwe Msikiti gani!!!???
We vipi_huoni ana sound kigalatia

Tuache kuzaliana...![emoji6]

kunyakuliwa..![emoji6]

ulimwengu wa kimwili na kiroho..![emoji6]

Kote huku hujaona tu..!? kuna Muslim ana sound hivi.!

Tena yawezekana ni mkatoliki
 
Tatizo sio kuacha kuzaliana.

Tatizo ni je mwanadamu yuko tayari kuacha kugegeda??
Akiweza hilo kuzaliana kutaisha.
 
We vipi_huoni ana sound kigalatia

Tuache kuzaliana...![emoji6]

kunyakuliwa..![emoji6]

ulimwengu wa kimwili na kiroho..![emoji6]

Kote huku hujaona tu..!? kuna Muslim ana sound hivi.!

Tena yawezekana ni mkatoliki
very good unajua kuguess sana
hongera kwako
 
Mahubiri ya mchanganyiko wa kipagani + kikiristo,
 
very good unajua kuguess sana
hongera kwako
Najua kifo si tatizo sana

ila wasiwasi wangu nahisi labda papa kakutuma

ili tuishe mje kuweka koloni lenu huku

Maana nimesikia sehemu kuwa siku hizi Vatican joto kali mambo si muswano

Hivyo mnataka kuigeuza dodoma makao yenu..! kweli.?[emoji848]
 
hivi umefikiria nini mpaka unataka watu wasigegede..!?
it morally wrong kuleta kiumbe hapa duniani kama kuna guarantee kitapata shida. na pia kiumbe utakayemleta ataweza kuleta mateso kwa viumbe wengine na wenzie hivyo basi nawewe utakuwa responsible kwa maafa hayo. sasa ya nini keendeleza mlolongo huu unaoweza kutatishwa mara moja
 
Mahubiri ya mchanganyiko wa kipagani + kikiristo,
ndio tunapaswa sasa kuachana na organized religion. mawazo hayo ni ya mtu amboye ameji talaka kutoka kwa dini ya mjumuiko na amebakiwa na dini ya asili ya upendo ambayo kila mtu anayo
 
it morally wrong kuleta kiumbe hapa duniani kama kuna guarantee kitapata shida. na pia kiumbe utakayemleta ataweza kuleta mateso kwa viumbe wengine na wenzie hivyo basi nawewe utakuwa responsible kwa maafa hayo. sasa ya nini keendeleza mlolongo huu unaoweza kutatishwa mara moja
Ikiwa unaliongelea hili nafahamu kabisa una imani katika Mungu_si ndio.?

Na ikiwa ni ndio

kwanini usimshitaki mungu kwa kushindwa kwake kulizuia hili waki lipo ndani ya uwezo wake_ au yeye alifurahia..!?
 
Bila shaka hapa ulimwenguni hamna kitu kinaogofya Zaidi ya kupoteza uhai kwa viumbe hai ( WANYAMA NA BINADAMU). Hali hii hutokana na mfumo wa fahamu unaofanya kazi automatic kulinda na kudhibiti uhai usiponyoke mwilini. Kinachopelekea hudhuni kubwa kumwangukia binadamu kutokana na matokeo ya kifo yatokeapo kwake ukilinganisha na viumbe hai vingine ( Kuku, mijusi na nk ){wanyama wenye kiasi kikubwa cha ubongo wanaweza onyesha hudhuni kuondokapo kwa wenzao mf. Sokwe, Tembo nk} ni kutokana kuwa na ubongo yenye uwezo mkubwa hadi kupelekea kujitambua uwepo nafsi yake hapa duniani na uwepo wa nafsi nyingine zenye uelewa kama yenyewe.

Basi kutokana na kifo kutunyanyasa kwa mda mrefu vizazi na vizazi hadi kupelekea watu wetu wa kalamu kutunga story na kanuni za kufwata ili kutufariji ( maisha mazuri baada ya kifo) {kwa ukweli hamna anayejua} hivyo basi wana member humu ndani jibu la shida hii ni binadamu wote dunia nzima kuacha KUZALIANA hii ndo njia pekee ya kukinyima kifo wahanga wake wapya.

Huu ulimwengu tunaoishi ni ulimwengu wa mwili ( Mwili ni mateso) na kitendo cha kuzaliwa hapa duniani ni kitendo cha nafsi kunyakuliwa kutoka kwa kwenye ulimwengu wa kiroho ( huko kwenye ulimwengu wa kiroho kifo hakipo bali kuna milele na milele) ndo maana kitoto kichanga chalia baada ya kuzaliwa kwani roho inakuwa imeumia kutoka kwenye ulimwengu wa kiroho. Na kinachopelekea kitendo cha kujamiana kuwa hakifanywi hadharani kama wanyama wengine na endapo wakikutwa wanashikwa na fedhea ni kutokana na nafsi kuwa guilt kujua kuwa kufanya hivyo kutapelekea nafsi nyingine ishushwe kama matokeo.

Tuachane na dhana za kukariri ( kuja duniani kuijaza dunia) {kuongezeka kwa watu kwa pelekea maovu kuongezeka hii kutokana na kugombania mahitaji muhimu} basi kwa kuwa sisi WATANZANIA tunaonekana tunashindwa kila kitu tufanye jambo hili ili tuwe taifa la kwanza kushinda mauti (kuacha kabisa kuzaliana) baada ya hii post. Nawahakikishia wasomaji itakapofika mwaka 2128 hamna MTANZANIA yeyote ambaye anaishi kwa saa ivi hapa nchini atafariki hapa duniani. Tuwaachie wapenda vya ulimwengu sisi tufwate vya kiroho na tutaimba milele na milele.
Mkuu nomba niwe tofauti na wewe kwa hoja ifuatayo hatuwezi kustop kuzaa kwasababu iyo ni kanuni ya ulimwengu iliyo wekwa na Mwenyezi Mungu mwenyew kwamba tuzaliane ili kuendeleza uhai hapa duniani na kifo sio adui kama unavo amini kifo ni hatua na hakuna ajuae nini hutokea mwili unapo achana na roho....ni lazima tuzaliane ili kuleta maendeleo duniani ebu tafakari Kama mimea ya nafaka ingegoma kuzaa mawingu yangegoma kutoa mvua jua lingegoma kuwaka upepo ungegoma kuvuma ardhi ingegoma kuchipusha mimea jiulize ungekuwepo ???? So kama wew unahsi kuzaa kunakukwamisha kufikia maendeleo yako basi usizae mkuu
 
nikiacha kuzaa mimi na wengine wakiendelea dhumuni langu la kusaidia watu wa nchi yangu kukishinda kifo litakuwa limekwama.
 
Ikiwa unaliongelea hili nafahamu kabisa una imani katika Mungu_si ndio.?

Na ikiwa ni ndio

kwanini usimshitaki mungu kwa kushindwa kwake kulizuia hili waki lipo ndani ya uwezo wake_ au yeye alifurahia..!?
mungu nayemjua mimi hana haja ya kuangaika na matatizo ambayo tunayo sisi wanadamu. ninapatwa na hudhuni kubwa kuona watu wakisali wakiomba msada kutoka kwake ( yaani mungu mwenye hekima na rehema ameshaamua ulimwengu wake uwe kama ulivyo) { unakuja wewe binadamu unataka mungu abadilishe maamuzi yake} kazi ya mungu ni kuhakikisha kuendelea kwa law of nature ( gravity, electromagnetic nk) na hamna atakayeweza kuvunja. angalia sana huyo MUUMBA ambaye anahangaika na mambo ya wanadamu
 
Bangi iruhusiwe tu kuvutwa hadharani maana hizi bange za chooni zina athari kubwa zaidi.
 
mungu nayemjua mimi hana haja ya kuangaika na matatizo ambayo tunayo sisi wanadamu. ninapatwa na hudhuni kubwa kuona watu wakisali wakiomba msada kutoka kwake ( yaani mungu mwenye hekima na rehema ameshaamua ulimwengu wake uwe kama ulivyo) { unakuja wewe binadamu unataka mungu abadilishe maamuzi yake} kazi ya mungu ni kuhakikisha kuendelea kwa law of nature ( gravity, electromagnetic nk) na hamna atakayeweza kuvunja. angalia sana huyo MUUMBA ambaye anahangaika na mambo ya wanadamu

Hivyo kwa maneno yako haya unakiri wazi kabisa kuwa mungu katutelekeza si ndio

tena yupo mbali na hana habari na sisi au vipi.!

Na kule kujinyonganyonga kiibada ni kujipendekeza tu na kujifariji ila hana mpango na sisi_ tutajiju wenyewe..![emoji3][emoji1][emoji1]

Ngoja nikuulize swali kidogo la uzushi hivi unaiamini Biblia.?
 
Back
Top Bottom