Njia ya kushinda mauti

Mahubiri ya mtu aliyechanganyikiwa. Anayeogopa kifo... kufa kunamtisha mno na anafikiria ni njia gani itakomesha kufa. Pole sana. Jikusanyie fedha kiasi cha kutosha, panga safari yako taamu... hakisha una kila kitu muhimu. Nenda sehemu tulivuuuu, angalia mazingira mazuri, watu, sehemu na vivutio mbali mbali. Tuliza akili. Elewa kila kitu kina mwisho nawe mwisho wako ni kifo na utakufa tu.... huna sababu ya kuogopa kufa.
 
nitafute nitakuelezea kwa undani zaidi
 
Naona unajitabiria kifo- Eti tusizaliane tuendelee kufa hadi tuishe. Hapo tumeshinda kifo au kifo kimetushinda.
Fikiria tena
 
Bangi ya asubuhi tamu jamani
 
Bangi ya asubuhi tamu jamani
ngoja nikwambie kitu
walionekana wajinga kwa kucheza stepu na wale ambao hawakuweza kusikia mziki.
mziki huo naoucheza wewe kiziwi usioweza kuusikia huruma kwako..
 
ngoja nikwambie kitu
walionekana wajinga kwa kucheza stepu na wale ambao hawakuweza kusikia mziki.
mziki huo naoucheza wewe kiziwi usioweza kuusikia huruma kwako..
Hudhuni--Huzuni
mungu--Mungu,
Halafu vile vile kuzaa hakusababishi kufa kwani kuna wengi tu hawakuzaa lakini wametangulia mbele za haki na vile vile kuna wengine wana historia ya kutogegeda au gegedwa na walishatangulia mbele za haki, kwa hio huo ni mfumo ambao uliwekwa na muumba mwenyewe kua lazima tufe sio ombi au hiari ni "LAZIMA"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…