Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
- Thread starter
- #41
Nenda Regency hospital watakusaidia.
thx. Nadhani ilikuwa ni UTI kidogo. Sasa hivi shwari kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda Regency hospital watakusaidia.
Kaka kiukweli cjacheza nJe cup, ingawa wife alikuwa anasumbuliwa na U.T.I baada ya kuchangia vyoo vya kazini kwake
Kaka kiukweli cjacheza nJe cup, ingawa wife alikuwa anasumbuliwa na U.T.I baada ya kuchangia vyoo vya kazini kwake
Asante mkuu..ngoja niwahiFangasi hiyo wahi hospitali mkuu
Uwe unajikausha ukioga... Nenda haraka hospitali
pole kwa tatizo!!!usikate tamaa endelea kuwaona doctors tofauti will help u!!!
so km hujado long time unatakaje?