Njia ya uzazi Iko centimeter 4 tangu saa Tano usiku haijaongezeka

Kwa uwezo wa mungu hatimae amefanikiwa kujifungua baada ya kuchomwa dawa yakushusha presha iv hydralazine 20mg stat...presha ikashuka akaweza kupush mtoto..hapo kabla ya sindano presha ilikua 200/188 ndani ya dk10
Hongereni.. Mungu awasimamie na kuwasaidia ktk malezi
 
Hapana itakua ameambiwa.
Si unaona alivyo mfatiliaji.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pia ana wenge labda ndo first born wao.
Nilikua nafatilia nanikaitwa kujadiliana kutupa Hali ya mjamzito na wao wakatoa mapendekezo watakayomfanyia mgonjwa wakasema kabisa hiyo dawa ndo njia mbadala ya mwisho kwa uwezo wa mungu
 
Nilikua nafatilia nanikaitwa kujadiliana kutupa Hali ya mjamzito na wao wakatoa mapendekezo watakayomfanyia mgonjwa wakasema kabisa hiyo dawa ndo njia mbadala ya mwisho kwa uwezo wa mungu
Vizuri sana mkuu na ndo inavyotakiwa hivo..
Nimependa jinsi unajali afya ya mwenzako.
Wewe ni mfano wa kuigwa.
 
Hauna nguvu za kiume ila unazalisha mkuu maana huwa unalia sana hapa kuhusu ili swala?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…