Njia ya wapi inalipa sana kwa gari aina ya noah?

Njia ya wapi inalipa sana kwa gari aina ya noah?

CYBERTEQ

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2012
Posts
7,341
Reaction score
4,067
Salaam wakuu,
Nina mpango wa kuleta Toyota Noah kadhaa kwa ajili ya kusafirisha abiria, naomba kwa mwenye ufahamu au mwenye idea nizipeleke wapi ili zilipe vizuri, hata kama ni barabara za vijijini za vumbi haina tabu. Ukiandika na umbali na nauli wanazolipa watu huko, competetion na wastani wa mauzo kwa siku au idadi ya safari zinazoweza kufanywa itakuwa nzuri sana. Pia hata gari ndogo (TAXI) kama unajua sehemu zinapolipa vizuri tuambiane.
Natanguliza shukrani wakuu.
 
Mkuu sumatra wame simamisha leseni zote za Noah kubebe abiria (biashara)
 
Mkuu sumatra wame simamisha leseni zote za Noah kubebe abiria (biashara)

Daa, kweli mkuu? lakin naona kuna mikoa bado zinapiga mzigo, kule njombe niliziona!
 
Wamesimamisha kwa zile ambazo zinafanya safari za mbali. Kwa Taxi haitakuwa na shida
 
Kumbe wameshatoa na dedline, haya wakuu tupeane mawazo kwa taxi ni wilaya na mikoa ipi inalipa kwa sasa!
 
Kigoma tax zinapiga kazi boda ya burundi via kigoma town nauli @5000,inategemea tax yako inaBeba abiria wangapi
 
Kigoma tax zinapiga kazi boda ya burundi via kigoma town nauli @5000,inategemea tax yako inaBeba abiria wangapi

kaka ni gari gani zinauza sana huko? na barabara ikoje? ni umbali gani? hali ya barabara?
Nakusumbua Mkuu lakini ningependa kujua wastani wa makusanyo kwa siku.
Nlishawahi kufika Kigoma Mkuu, naipenda hali ya huko.
Thanx
 
Nunua GAIA au Ipsum kwaajili ya hiyo biashara
 
zipeleke Airport Dar na pale KIA inalipa sana hasa pale KIA watalii ni wengi sana mkuu utapiga hela mpaka uchanganyikiwe
 
Moshi to border ya Kenya zinalipa
 
kibali kimetoka tunaruhusuwa kusafirisha abiria kwa kutumia noah
 
mkuu ninauza noah yangu ya mwaka 1998 kwa bei ya t sh million kumi bei hii ni bila udalali.
 
Back
Top Bottom